Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke anaswa na ngozi za chui

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Mwajuma Hamisi, mkazi wa Yombo Vituka kwa kosa la kukutwa na ngozi mbili za chui kinyume cha sheria, zenye thamani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtendaji wa Kijiji anaswa na ngozi kumi za chui

KIKOSI Maalumu cha Kupambana na Ujangili (KDU) kimewanasa watu wawili wanaotuhumiwa kuwa ni majangili wakiwa na ngozi kumi za chui, akiwemo Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazo Kata ya Kimange wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani, Mussa Salim (41).

 

9 years ago

Habarileo

`Sangoma’ anaswa na kwato za pundamilia, ngozi ya simba

MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba (42), anashikiliwa na Polisi, wilayani Mlele, mkoani Katavi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za Serikali bila kibali halali.

 

9 years ago

Global Publishers

`Sangoma’ anaswa na maini ya swala, ngozi ya simba

kamanda-KidavashariKamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari

MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba (42), anashikiliwa na Polisi, wilayani Mlele, mkoani Katavi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za Serikali bila kibali halali.

Ilidaiwa kuwa Choma amekuwa akitumia nyara hizo kupigia ramli chonganishi kwa jamii na kutibu wateja wake.

Nyara alizokamatwa nazo ni pamoja na nyama ya sungura pori, kwato za pundamilia, ngozi ya simba, maini ya swala na ngozi ya paka pori. Hata...

 

10 years ago

Mtanzania

Mwanamke auawa, achunwa ngozi Mbeya

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Barakaeli Masaki

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Barakaeli Masaki

Na Pendo Fundisha, Mbozi

WATU wasiofahamika wamemuua mwanamke mkazi wa Kijiji cha Idiwili, Kata ya Iyula wilayani Mbozi na kumchuna ngozi ya shingo.

Pamoja na kumchuna ngozi marehemu, wauaji hao pia walinyofoa macho, ulimi na koromeo la marehemu.

Baada ya mauaji hayo ya kinyama wauaji hao waliutelekeza porini mwili wa marehemu huyo, Angelina Kameza (26).

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Barakaeli Masaki alisema:

“Tumepokea taarifa...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE ANASWA KWA SOO LA UTAPELI

Stori:  Hamida Hassan na Imelda Mtema Mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Mwanaheri anadaiwa kunaswa kwa msala wa utapeli na kupewa kashikashi la aina yake baada ya ‘kutaitiwa’ na wanawake wenzake ambao ni wajasiriamali akisemekana kukomba mali zenye gharama za Sh. milioni mbili. Mtuhumiwa (Mwanaheri) aliyenaswa kwa msala wa utapeli akiwa chini ya ulinzi wa Polisi eneo la Mlimani City jijini Dar. Tukio hilo...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ANASWA AKITAKA KUMTOROSHA BINTI

Stori: Francis Godwin, Iringa
WAKAZI wa Kitongoji cha Frelimo mkoani hapa wamemkamata mwanamke aitwaye Zuhura Angero kwa madai ya kutaka kumtorosha binti wa kazi, Felenesta kwa ajili ya kumpeleka jijini Dar es Saalam kufanya kazi za ndani. Tukio hilo la aina yake limetokea saa mbili usiku Januari 12, mwaka huu baada ya wakazi hao kumwekea mtego mwanamke huyo na kumnasa. Inadaiwa kwamba mwanamke huyo ambaye ni mwenyeji wa Iringa...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi mwanamke aiba mtoto, anaswa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed MsangiOFISA wa Jeshi la Polisi nchini, anashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mbeya akituhumiwa kuiba mtoto mchanga mwenye umri wa siku saba.

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Saratani ya ngozi aina ya Melanoma ni hatari kiasi gani?

>Tangu tuanze kuichambua mada hii ya maradhi ya saratani ya ngozi, tumeangazia mambo mbalimbali ikiwamo saratani ni nini, aina za saratani, makundi ya watu yanayoathiriwa zaidi na saratani hii ya ngozi.

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Maradhi ya ngozi kwa njia ya ngono

>Baadhi ya maswali tuliyopokea, mengi yalihusu maradhi ya sunzua ambayo kitaalmu yanajulikana kama warts.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani