`Sangoma’ anaswa na kwato za pundamilia, ngozi ya simba
MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba (42), anashikiliwa na Polisi, wilayani Mlele, mkoani Katavi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za Serikali bila kibali halali.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers29 Dec
`Sangoma’ anaswa na maini ya swala, ngozi ya simba
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari
MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba (42), anashikiliwa na Polisi, wilayani Mlele, mkoani Katavi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za Serikali bila kibali halali.
Ilidaiwa kuwa Choma amekuwa akitumia nyara hizo kupigia ramli chonganishi kwa jamii na kutibu wateja wake.
Nyara alizokamatwa nazo ni pamoja na nyama ya sungura pori, kwato za pundamilia, ngozi ya simba, maini ya swala na ngozi ya paka pori. Hata...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Mwanamke anaswa na ngozi za chui
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Mwajuma Hamisi, mkazi wa Yombo Vituka kwa kosa la kukutwa na ngozi mbili za chui kinyume cha sheria, zenye thamani...
11 years ago
Habarileo03 Aug
Mtendaji wa Kijiji anaswa na ngozi kumi za chui
KIKOSI Maalumu cha Kupambana na Ujangili (KDU) kimewanasa watu wawili wanaotuhumiwa kuwa ni majangili wakiwa na ngozi kumi za chui, akiwemo Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazo Kata ya Kimange wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani, Mussa Salim (41).
11 years ago
Mwananchi31 Jan
AFYA YA NGOZI: Saratani ya ngozi aina ya Melanoma ni hatari kiasi gani?
11 years ago
Mwananchi01 Aug
AFYA YA NGOZI: Maradhi ya ngozi kwa njia ya ngono
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Nyumbu, pundamilia waibeba Serengeti
NYUMBU na pundamilia ni wanyamapori wenye historia ya kipekee wanaopatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Senapa), inayoongoza kwa kuwa na vivutio bora vya utalii Barani Afrika.
Ukifika Senapa utawaona wakiwa katika makundi makubwa na misafara mirefu wakitafuta riziki ya malisho na kufurahia mazingira hai ya hifadhi hiyo.
Wanyama hawa ndiyo huipendezesha zaidi Senapa na kuitofautisha na hifadhi nyingine nchini. Ni kivutio kikubwa cha utalii katika hifadhi hiyo yenye hadhi ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3JwaH2xufXqQe4gTGuy3MT-OnAssGeflMQCar2T24EnxJyx3V98kV*cqWRD5oWxtAnjIzrLHECCYVErQ28JbvOe/d.jpg)
SHABIKI WA NEWCASTLE AUAWA NA PUNDAMILIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3BUwwLuJMnQc6CP8qG91kxWVNUqc92Xo5qRyUw355GyVe*IptNnTnxUZal0xZbb-FdVSVnyLjFswQk00WBAaVWMqNHu8Psp0/CHEKANAKITIME.jpg)
UNAVUKA ZEBRA CROSSING WEE PUNDAMILIA?
10 years ago
Vijimambo07 Mar
SHABIKI WA NEWCASTLE AUAWA NA PUNDAMILIA BONGO
![](http://api.ning.com/files/QFZtM12iNiD5R53GmH1HHVmHWK5vT43CN38z9VJxOg1Br56WHUG0HJVWsR6In0UO1Su8kJ4opoeP4hNlNXOBHWf6WbOIrWzL/shabikinewcast.jpg)
Mwandishi wetu
INASHANGAZA! Shabiki mmoja aliyekuwa amevalia jezi ya timu ya Newcastle, John Kearsley (38) ameuawa baada ya kukanyagwa na pundamilia alipokuwa matembezini katika mbuga za wanyama nchini Tanzania.
John, alikuwa na ziara ya siku 12 nchini Tanzania ambayo aliiandaa kwa muda mrefu kwa lengo la kusherehekea kutimiza miaka 10 ya ndoa yake na mkewe, Doreen akiongozana na ndugu zake wawili katika ziara hiyo iliyoishia kwa...