Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


`Sangoma’ anaswa na maini ya swala, ngozi ya simba

kamanda-KidavashariKamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari

MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba (42), anashikiliwa na Polisi, wilayani Mlele, mkoani Katavi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za Serikali bila kibali halali.

Ilidaiwa kuwa Choma amekuwa akitumia nyara hizo kupigia ramli chonganishi kwa jamii na kutibu wateja wake.

Nyara alizokamatwa nazo ni pamoja na nyama ya sungura pori, kwato za pundamilia, ngozi ya simba, maini ya swala na ngozi ya paka pori. Hata...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

`Sangoma’ anaswa na kwato za pundamilia, ngozi ya simba

MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba (42), anashikiliwa na Polisi, wilayani Mlele, mkoani Katavi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za Serikali bila kibali halali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamke anaswa na ngozi za chui

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Mwajuma Hamisi, mkazi wa Yombo Vituka kwa kosa la kukutwa na ngozi mbili za chui kinyume cha sheria, zenye thamani...

 

11 years ago

Habarileo

Mtendaji wa Kijiji anaswa na ngozi kumi za chui

KIKOSI Maalumu cha Kupambana na Ujangili (KDU) kimewanasa watu wawili wanaotuhumiwa kuwa ni majangili wakiwa na ngozi kumi za chui, akiwemo Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazo Kata ya Kimange wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani, Mussa Salim (41).

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Saratani ya ngozi aina ya Melanoma ni hatari kiasi gani?

>Tangu tuanze kuichambua mada hii ya maradhi ya saratani ya ngozi, tumeangazia mambo mbalimbali ikiwamo saratani ni nini, aina za saratani, makundi ya watu yanayoathiriwa zaidi na saratani hii ya ngozi.

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Maradhi ya ngozi kwa njia ya ngono

>Baadhi ya maswali tuliyopokea, mengi yalihusu maradhi ya sunzua ambayo kitaalmu yanajulikana kama warts.

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Maini … haini … maini … haini

Ooooh naomboleza jamani oooooh. Si lazima ungoje kifo ndiyo uomboleze. Ukiona kifo chakaribia, machozi yanadondoka yenyewe.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

bwawa la maini oyeeee!

 Ankal akifurahia ushindi wa 3-2 dhidi ya Man City leo huko Anfield.   Baadhi ya Bongo Kops wakiserebuka kwa ushindi leo  Nahodha Steven Gerald na wenzie wakifurahia ushindi Wadau wa Bongo Kops na mwenyekiti wao Musley (kati) wakiwa na furaha baada ya gemu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani