Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyumbu, pundamilia waibeba Serengeti

NYUMBU na pundamilia ni wanyamapori wenye historia ya kipekee wanaopatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Senapa), inayoongoza kwa kuwa na vivutio bora vya utalii Barani Afrika.

Ukifika Senapa utawaona wakiwa katika makundi makubwa na misafara mirefu wakitafuta riziki ya malisho na kufurahia mazingira hai ya hifadhi hiyo.

Wanyama hawa ndiyo huipendezesha zaidi Senapa na kuitofautisha na hifadhi nyingine nchini. Ni kivutio kikubwa cha utalii katika hifadhi hiyo yenye hadhi ya...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Lallana ,Moreno waibeba Liverpool

liverpool wakicheza katika uwanja wao wa Anfield wameibuka na ushindi wa kishindo kwa kuichapa Swansea mabao 4-1.

 

10 years ago

GPL

SHABIKI WA NEWCASTLE AUAWA NA PUNDAMILIA

Mwandishi wetu
INASHANGAZA! Shabiki mmoja aliyekuwa amevalia jezi ya timu ya Newcastle, John Kearsley (38) ameuawa baada ya kukanyagwa na pundamilia alipokuwa matembezini katika mbuga za wanyama nchini Tanzania. Shabiki wa Newcastle John Kearsley aliyeuawa na Pundamilia. John, alikuwa na ziara ya siku 12 nchini Tanzania ambayo aliiandaa kwa muda mrefu kwa lengo la kusherehekea kutimiza miaka 10 ya ndoa yake na mkewe, Doreen...

 

9 years ago

Habarileo

Mgawanyo wa majimbo waibeba Chadema

UMOJA wa vyama vinne vya upinzani (Ukawa), umetoa rasmi mgawanyo wake wa majimbo ya ubunge kwa upande wa Tanzania Bara, baada ya kukubaliana, ambapo Chadema kimeongoza kwa kuwa na majimbo mengi kuliko vyama vingine.

 

10 years ago

GPL

UNAVUKA ZEBRA CROSSING WEE PUNDAMILIA?

Dah nimeokota waraka huu wa siri unaoonekana umeandikwa na jamaa wenye vyombo vya usafiri, na unaelekezwa kwa watembea kwa miguu Dar es Salaam. Nimeona niulete hapa hadharani. Ndugu watembea kwa miguu, sisi wenye vyombo vya moto vya usafiri baada ya kuvumilia kwa muda mrefu tumeona tutoe dukuduku letu kuhusu nyinyi watembea kwa miguu wa Tanzania hususan nyinyi wa Jiji la Dar a.k.a Bongo. Watembea kwa miguu mnasababisha kero kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

SHABIKI WA NEWCASTLE AUAWA NA PUNDAMILIA BONGO

Shabiki wa Newcastle John Kearsley aliyeuawa na Pundamilia.
Mwandishi wetu
INASHANGAZA! Shabiki mmoja aliyekuwa amevalia jezi ya timu ya Newcastle, John Kearsley (38) ameuawa baada ya kukanyagwa na pundamilia alipokuwa matembezini katika mbuga za wanyama nchini Tanzania.

John, alikuwa na ziara ya siku 12 nchini Tanzania ambayo aliiandaa kwa muda mrefu kwa lengo la kusherehekea kutimiza miaka 10 ya ndoa yake na mkewe, Doreen akiongozana na ndugu zake wawili katika ziara hiyo iliyoishia kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Maguli, Bocco waibeba Kili Stars

anzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ ikianza na wachezaji wanne waliocheza dhidi ya Algeria ilihamishia hasira zake kwa Somalia na kuichapa mabao 4-0 katika mchezo wa kwanza wa mashindano ya Kombe la Chalenji yanayoendelea nchini Ethiopia.

 

9 years ago

Habarileo

`Sangoma’ anaswa na kwato za pundamilia, ngozi ya simba

MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba (42), anashikiliwa na Polisi, wilayani Mlele, mkoani Katavi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za Serikali bila kibali halali.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waibeba CCM, asilimia 65 kumchagua Magufuli

Asilimia 62 ya wananchi wamesema wako karibu na CCM huku asilimia nyingine 65 wakisema watamchagua mgombea wa CCM, Dk. John Magufuli kuwa rais wa awamu ya tano, matokeo ya utafiti wa Twaweza yaeleza leo.

 

9 years ago

Raia Mwema

Mnajidai nyumbu wa Ngorongoro? Mtaliwa

MWANZONI niliposikia kauli hii, nikajiuliza huyu mama ana maana gani?

Mwandishi Wetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani