SHABIKI WA NEWCASTLE AUAWA NA PUNDAMILIA
![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3JwaH2xufXqQe4gTGuy3MT-OnAssGeflMQCar2T24EnxJyx3V98kV*cqWRD5oWxtAnjIzrLHECCYVErQ28JbvOe/d.jpg)
Mwandishi wetu INASHANGAZA! Shabiki mmoja aliyekuwa amevalia jezi ya timu ya Newcastle, John Kearsley (38) ameuawa baada ya kukanyagwa na pundamilia alipokuwa matembezini katika mbuga za wanyama nchini Tanzania. Shabiki wa Newcastle John Kearsley aliyeuawa na Pundamilia. John, alikuwa na ziara ya siku 12 nchini Tanzania ambayo aliiandaa kwa muda mrefu kwa lengo la kusherehekea kutimiza miaka 10 ya ndoa yake na mkewe, Doreen...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Mar
SHABIKI WA NEWCASTLE AUAWA NA PUNDAMILIA BONGO
![](http://api.ning.com/files/QFZtM12iNiD5R53GmH1HHVmHWK5vT43CN38z9VJxOg1Br56WHUG0HJVWsR6In0UO1Su8kJ4opoeP4hNlNXOBHWf6WbOIrWzL/shabikinewcast.jpg)
Mwandishi wetu
INASHANGAZA! Shabiki mmoja aliyekuwa amevalia jezi ya timu ya Newcastle, John Kearsley (38) ameuawa baada ya kukanyagwa na pundamilia alipokuwa matembezini katika mbuga za wanyama nchini Tanzania.
John, alikuwa na ziara ya siku 12 nchini Tanzania ambayo aliiandaa kwa muda mrefu kwa lengo la kusherehekea kutimiza miaka 10 ya ndoa yake na mkewe, Doreen akiongozana na ndugu zake wawili katika ziara hiyo iliyoishia kwa...
11 years ago
GPL09 Dec
SHABIKI WA MANCHESTER UTD NAIROBI AJIUA BAADA YA TIMU YAKE KUFUNGWA NA NEWCASTLE 1-0
11 years ago
BBCSwahili07 Jul
Shabiki wa Brazil auawa Kenya
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
''Shabiki'' wa Liverpool auawa Kenya
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Nyumbu, pundamilia waibeba Serengeti
NYUMBU na pundamilia ni wanyamapori wenye historia ya kipekee wanaopatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Senapa), inayoongoza kwa kuwa na vivutio bora vya utalii Barani Afrika.
Ukifika Senapa utawaona wakiwa katika makundi makubwa na misafara mirefu wakitafuta riziki ya malisho na kufurahia mazingira hai ya hifadhi hiyo.
Wanyama hawa ndiyo huipendezesha zaidi Senapa na kuitofautisha na hifadhi nyingine nchini. Ni kivutio kikubwa cha utalii katika hifadhi hiyo yenye hadhi ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3BUwwLuJMnQc6CP8qG91kxWVNUqc92Xo5qRyUw355GyVe*IptNnTnxUZal0xZbb-FdVSVnyLjFswQk00WBAaVWMqNHu8Psp0/CHEKANAKITIME.jpg)
UNAVUKA ZEBRA CROSSING WEE PUNDAMILIA?
9 years ago
Habarileo29 Dec
`Sangoma’ anaswa na kwato za pundamilia, ngozi ya simba
MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba (42), anashikiliwa na Polisi, wilayani Mlele, mkoani Katavi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za Serikali bila kibali halali.
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Shabiki wangu usijinyonge, nitajirekebisha
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Polisi yamshikilia shabiki mmoja