Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHABIKI WA NEWCASTLE AUAWA NA PUNDAMILIA BONGO

Shabiki wa Newcastle John Kearsley aliyeuawa na Pundamilia.
Mwandishi wetu
INASHANGAZA! Shabiki mmoja aliyekuwa amevalia jezi ya timu ya Newcastle, John Kearsley (38) ameuawa baada ya kukanyagwa na pundamilia alipokuwa matembezini katika mbuga za wanyama nchini Tanzania.

John, alikuwa na ziara ya siku 12 nchini Tanzania ambayo aliiandaa kwa muda mrefu kwa lengo la kusherehekea kutimiza miaka 10 ya ndoa yake na mkewe, Doreen akiongozana na ndugu zake wawili katika ziara hiyo iliyoishia kwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHABIKI WA NEWCASTLE AUAWA NA PUNDAMILIA

Mwandishi wetu
INASHANGAZA! Shabiki mmoja aliyekuwa amevalia jezi ya timu ya Newcastle, John Kearsley (38) ameuawa baada ya kukanyagwa na pundamilia alipokuwa matembezini katika mbuga za wanyama nchini Tanzania. Shabiki wa Newcastle John Kearsley aliyeuawa na Pundamilia. John, alikuwa na ziara ya siku 12 nchini Tanzania ambayo aliiandaa kwa muda mrefu kwa lengo la kusherehekea kutimiza miaka 10 ya ndoa yake na mkewe, Doreen...

 

11 years ago

GPL

SHABIKI WA MANCHESTER UTD NAIROBI AJIUA BAADA YA TIMU YAKE KUFUNGWA NA NEWCASTLE 1-0

Kijana mmoja aitwaye, John Jimmy Macharia (23) wa Nairobi, Kenya anayedaiwa kuwa shabiki wa timu ya Manchester United ya nchini Uingereza juzi Jumamosi alijiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya saba alipokuwa baada ya timu hiyo kufungwa na Newcastle United bao 1-0. Timu hiyo ilifungwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliopigwa Old Trafford, Manchester ambapo bao hilo lilifungwa na Yohan Cabaye dakika ya 61 ya mchezo. (Video na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Shabiki wa Brazil auawa Kenya

Mashabiki wawili wa kandanda waliuawa Magharibi mwa Kenya kufuatia matokeo ya mechi ya Brazil na Colombia

 

11 years ago

BBCSwahili

''Shabiki'' wa Liverpool auawa Kenya

Shabiki wa klabu ya soka ya Uingereza ya Liverpool amedungwa kisu na mwenzake wa Arsenal na kufariki dunia baada ya mechi ya Jumamosi

 

10 years ago

Raia Tanzania

Nyumbu, pundamilia waibeba Serengeti

NYUMBU na pundamilia ni wanyamapori wenye historia ya kipekee wanaopatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Senapa), inayoongoza kwa kuwa na vivutio bora vya utalii Barani Afrika.

Ukifika Senapa utawaona wakiwa katika makundi makubwa na misafara mirefu wakitafuta riziki ya malisho na kufurahia mazingira hai ya hifadhi hiyo.

Wanyama hawa ndiyo huipendezesha zaidi Senapa na kuitofautisha na hifadhi nyingine nchini. Ni kivutio kikubwa cha utalii katika hifadhi hiyo yenye hadhi ya...

 

10 years ago

GPL

UNAVUKA ZEBRA CROSSING WEE PUNDAMILIA?

Dah nimeokota waraka huu wa siri unaoonekana umeandikwa na jamaa wenye vyombo vya usafiri, na unaelekezwa kwa watembea kwa miguu Dar es Salaam. Nimeona niulete hapa hadharani. Ndugu watembea kwa miguu, sisi wenye vyombo vya moto vya usafiri baada ya kuvumilia kwa muda mrefu tumeona tutoe dukuduku letu kuhusu nyinyi watembea kwa miguu wa Tanzania hususan nyinyi wa Jiji la Dar a.k.a Bongo. Watembea kwa miguu mnasababisha kero kwa...

 

9 years ago

Habarileo

`Sangoma’ anaswa na kwato za pundamilia, ngozi ya simba

MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba (42), anashikiliwa na Polisi, wilayani Mlele, mkoani Katavi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za Serikali bila kibali halali.

 

9 years ago

Habarileo

Manara: Mimi shabiki wa Niyonzima

SIKU moja baada ya Klabu ya Yanga kumtupia virago winga wake, Haruna Niyonzima, msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara amesema yeye ni shabiki mkubwa wa mchezaji huyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yamshikilia shabiki mmoja

>Shabiki mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kukutwa na tiketi bandia kwenye mechi ya Ligi Kuu ya kati ya Yanga na Mbeya City iliyochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani