Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manara: Mimi shabiki wa Niyonzima

SIKU moja baada ya Klabu ya Yanga kumtupia virago winga wake, Haruna Niyonzima, msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara amesema yeye ni shabiki mkubwa wa mchezaji huyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)

Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa eti klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda? Hili ndio jibu la afisa habari wa Simba Haji Manara. “Haruna […]

The post Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manara anapofichua udhaifu wa wachezaji

JINA Kitwana Manara sio geni masikioni mwa wadau wa soka hapa nchini, hasa kutokana na umahiri aliokuwa nao langoni sambamba na kusakata kabumbu awapo dimbani. Manara ni miongoni mwa nyota...

 

5 years ago

Michuzi

NUGAZ, MANARA WAPELEKWA KAMATI YA MAADILI

KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya bodi ya Ligi (TPLB) kimewataka Sekretarieti ya TFF  kufuatilia viongozi wa vilabu na Makocha  ambao hivi karibuni wamekuwa wakishutumu na kutoa matamshi yenye kukashifu na kudhalilisha.
Kamati hiyo imeeleza kuwa viongozi hao wamekuwa wanatoa maneno ya kukashifu na kudhalilisha viongozi ,Chapa (Brand) ya Ligi na Taasisi kwa ujumla kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwa vipindi tofauti tofauti.
Wamesema viongozi na Makocha  waliobainika ...

 

10 years ago

Mwananchi

Kitwana Manara: Bibi alinipeleka Yanga

Manara, wengi wakiwamo mashabiki wa soka hasa wa siku hizi wanamtambua kama mshambuliaji mahiri wa miaka ile.

 

9 years ago

Raia Mwema

Hatuna kumbukumbu za Manara, tuanzie kwa Samatta

MBWANA Samatta amefunga mabao matatu ‘Hat-Trick’ katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya ti

Abdul Mkeyenge

 

10 years ago

Mwananchi

Sunday Manara ‘Kompyuta’ Mtanzania wa kwanza Ulaya

Hivi sasa Sunday Ramadhan Manara ni babu mwenye wajukuu, ameacha mazoezi, amekuwa ‘bonge’, anakumbuka alipokuwa mchezaji alikuwa na kilogramu 74, lakini sasa anazo 110.

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA WA HAJI MANARA


Ama hakika wengi waliokuwepo Uwanja wa Taifa  jana waliondoka kwa huzuni sana. Waliondoka kwa huzuni sio sababu timu ya taifa ilifungwa. Laa hasha!! Hawakutegemea kupata matokeo ya sare kwenye mchezo wa kufuzu kucheza kombe la dunia dhidi ya miamba ya soka afrika Algeria.Tayari kwa kila mmoja mechi ilishaisha hasa baada ya kuongoza kwa goli mbili kwa bila.ila mpira ni mchezo wa makosa.mwisho wa mchezo ikawa huzuni kwetu baada ya waarabu wa kaskazin mwa afrika kusawazisha goli zote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani