NUGAZ, MANARA WAPELEKWA KAMATI YA MAADILI
![](https://1.bp.blogspot.com/-rJ-_qwNRK64/XkVih6724KI/AAAAAAALdQM/OQQ2UXofTfk5EL8veENkXr3xjwFL1OaGwCLcBGAsYHQ/s72-c/Ligi-kuu-1.jpg)
KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya bodi ya Ligi (TPLB) kimewataka Sekretarieti ya TFF kufuatilia viongozi wa vilabu na Makocha ambao hivi karibuni wamekuwa wakishutumu na kutoa matamshi yenye kukashifu na kudhalilisha.
Kamati hiyo imeeleza kuwa viongozi hao wamekuwa wanatoa maneno ya kukashifu na kudhalilisha viongozi ,Chapa (Brand) ya Ligi na Taasisi kwa ujumla kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwa vipindi tofauti tofauti.
Wamesema viongozi na Makocha waliobainika ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Ngeleja,Chenge wapelekwa Maadili
9 years ago
Michuzi17 Oct
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcKvSG3Ilte4JmnLdlWueG0OReBv2ULhrS0hFku9s3SxJilAy*5nA65n-yuwpTIZ*5qgDiRZCK4PQqCey1Yl8JZK/KAMATIYAMAADILI.png)
UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1lwKNobKN98/XvNUmWd59DI/AAAAAAALvRU/TCUrDW6RD6go7hByaOUi9n3Kg_IuppbwQCLcBGAsYHQ/s72-c/24594856-e891-416f-bb18-32c0cdfbfba1.jpg)
KAMATI YA MAADILI YAZINDULIWA MLOGANZILA
![](https://1.bp.blogspot.com/-1lwKNobKN98/XvNUmWd59DI/AAAAAAALvRU/TCUrDW6RD6go7hByaOUi9n3Kg_IuppbwQCLcBGAsYHQ/s640/24594856-e891-416f-bb18-32c0cdfbfba1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/b6d0020b-a5ce-4872-adeb-59bbec4ebcb9.jpg)
Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika uzinduzi
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/18f89e74-e0b8-41af-b2b0-b35fc1bc6d9f.jpg)
Prof. Majinge na viongozi wakuu wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya maadili ya MNH-Upanga na Mloganzila.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/36fe5cfe-c1e7-408d-89e0-878044ee8201.jpg)
Katibu Kanda ya Mashariki, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa...
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Kamati ya maadili CCM itaweza?
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ameweka wazi kuwa chama kimeunda kamati za usalama na maadili kufanya kazi ya kuwabana wanaokiuka maadili. Kikwete alitoa kauli hiyo kwa...
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Vigogo sita CCM waitwa Kamati ya Maadili
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Blatter aiponda kamati ya maadili Fifa kumjadili