Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Blatter aiponda kamati ya maadili Fifa kumjadili

Wakati kamati ya maadili ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) ikianza kumjadili, rais wa shirikisho hilo, Sepp Blatter ameiponda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kamati ya maadili ya FIFA yataka Blatter na Platini wasimamishwe kazi kwa siku 90

Kamati ya maadili katika shirikisho la soka duniani FIFA imependekeza Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter asimamishwe kazi kwa siku 90, yeye pamoja na Rais wa UEFA Michel Platini ili kupisha uchunguzi wa ubadhilifu wa fedha wa wakati wa kipindi cha utawala wa Blatter. Wanachama wa kamati hiyo walikutana wiki hii baada […]

 

9 years ago

StarTV

Kamati ya maadili fifa Kuwachunguza Beckenbauer na Angel Villar.

Kamati ya maadili ya shirikisho la soka duniani FIFA imetoa orodha nyingine ya kuwachunguza vigogo wengine wawili akiwemo gwiji na nahodha wa zamani wa Ujerumani Franz Beckenbar na makamu wa rais FIFA na Uefa Angel Maria Via kwa tuhuma za rushwa. Kamati hiyo ya maadili itaamua kama itamchukulia hatua Beckenbar mwenye miaka 70 na watu wengine 22 waliohusika kupiga kura katika mchakato wa uenyeji wa fainali mbili za kombe la dunia 2018 nchini Urussi na Qatar 2022. Beckenbar tayari alikwisha...

 

10 years ago

GPL

UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)

Kamati ya Usalama na Maadili tayari imemaliza kikao chake. Kamati Kuu itaanza kikao chake saa 10 jioni

 

10 years ago

Mwananchi

Blatter kujiuzulu Fifa

Zurich, Uswisi. Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter ametangaza kuwa atajiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.

 

10 years ago

GPL

BLATTER AJIUZULU FIFA

Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter. Zurich, Uswis
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter, jana alijiuzulu cheo chake kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.Blatter alitangaza kujiuzulu jana jioni zikiwa ni siku nne tangu alipochaguliwa kwa mara ya tano kuiongoza Fifa. Alitangaza uamuzi huo kwenye makao makuu wa Fifa mjini Zurich akiwa ametumikia cheo cha urais...

 

9 years ago

BBCSwahili

FIFA:Blatter na Platini wachunguzwa

Rais wa FIFA Sepp Blatter na rais wa UEFA Michel Platini wanachunguzwa na kamati ya nidhamu ya FIFA

 

10 years ago

GPL

BLATTER AJIUZULU URAIS FIFA

Rais wa FIFA, Sepp Blatter ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Sepp Blatter akiwapongeza wajumbe wa FIFA baada ya kushinda nafasi hiyo siku sita zilizopita. MTIKISIKO, Rais wa FIFA Sepp Blatter (79) ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Urais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kufuatia kashfa ya rushwa. Taarifa iliyotolewa leo makao makuu ya FIFA mjini Zurich, Uswisi, Blatter amesema anaondoka baada ya miaka 17… ...

 

10 years ago

BBC

Fifa re-elects Blatter president

Fifa re-elects Sepp Blatter president as his rival withdraws after the first round of a vote overshadowed by allegations of corruption in world football.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani