Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sunday Manara ‘Kompyuta’ Mtanzania wa kwanza Ulaya

Hivi sasa Sunday Ramadhan Manara ni babu mwenye wajukuu, ameacha mazoezi, amekuwa ‘bonge’, anakumbuka alipokuwa mchezaji alikuwa na kilogramu 74, lakini sasa anazo 110.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Haji Sunday Manara ndie msemaji mpya wa Simba

UONGOZI  wa Simba umemtangaza mwandishi wa habari wa siku nyingi,Haji Sunday Manara kuwa msemaji mpya wa klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi.
Katibu mkuu wa Simba Steven Ally ameiambia Globu ya Jamii kuwa Manara atachua nafasi ya Humphrey Nyasio ambaye atapangiwa majukumu mengine.
"Kamati ya Utendaji ya Simba  imemkabidhi jukumu Manara baada ya kujiridhisha pasi na shaka uzoefu wake katika masuala ya michezo na pia uzoefu wake katika mambo mbalimbali ya kiutawala, hivyo kuwa na imani kwamba...

 

9 years ago

Michuzi

MSUMAJI WA SIMBA HAJI SUNDAY MANARA AWAPONGEZA WAPENZI WAO

Wapendwa wana-Simba wenzangu,
Ninawaandikia ujumbe huu makhsus kuwashukuru kwa mara nyingine kwa kazi nzuri mliyoifanya uwanjani Leo kwa kuishangilia timu yenu mwanzo mwisho kwenye mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar uwanja wa Taita.
Mimi  naamini bila ya support yenu Simba haiwezi kufanya vizuri hata siku moja.

Pia kwa niaba ya uongozi wenu tunawashkuru sana wapenzi wetu ambao  hawakujaaliwa kufika uwanjani hii leo. Sisi tunaamini dua na sala zao zmesaidia kutupa nguvu hii leo na kupata points...

 

9 years ago

Michuzi

Ma-Alhaj King Majuto na Sunday Manara Computer wakutana Makka

Mwigizaji mchekeshaji nyota King Majuto akiwa na mchezaji wa zamani wa Taifa Stars na Yanga Sunday Manara 'Computer' wakiwa mjini Makka wakati wa Hijja. Hawa ni miongoni mwa Watanzania  walionusurika katika maafa ya msongamano wa watu Mina juzi uliochukua maisha ya mahujaji zaidi ya 700 kutoka kila pembe ya dunia.

 

10 years ago

Michuzi

Haji Sunday Manara amlilia Rafiki yake Ramadhani Masanja Banza Stone



Oooh Rama Mate...! Nilipenda kumwita hvyo. Ni kijana wa mjini hasa. ilianza nae standard one shule ya msingi darasa moja pale Mnazi Mmoja Primary school  iliyopo mkabala na iliopozaliwa TANU (ofisi ndogo ya CCM ) New street (Lumumba) na tulikuwa sote kwa miaka miwili kabla ya wazazi kunihamishia Bunge Orimary iliopo Ohio street mkabala na ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa miaka hiyo tulikuwa na uswahiba mkubwa wa kitoto. Nikikumbuka halftime mbio zetu kwenda kwa muuza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya Standard Chartered yateua Mkurugenzi wa kwanza Mtanzania

Sanjay - 3

Sanjay Rughani (pichani) anakuwa Mtanzania wa kwanza kuiongoza benki ya Standard Chartered Tanzania akipokea uongozi wa benki hiyo kutoka kwa aliyekuwa mkurugenzi wake, Liz Lloyd, ambaye amerudi katika makao makuu ya benki hiyo, London, kuchukua nafasi ya Mshauri wa Kisheria wa benki hiyo.

Sanjay alijiunga na benki ya Standard Chartered Tanzania mwaka wa 1999 akiwa kama Meneja msaidizi wa kitengo cha Fedha. Baada ya miaka miwili Sanjay alipata cheo cha Meneja wa kitengo cha Fedha kwa Bara...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtanzania wa kwanza mwenye leseni ya uhakiki ndege kimataifa

Leseni ni kibali maalumu kwa kazi maalumu, biashara au huduma anayopewa mtu au kikundi kwa lengo la kutekeleza shughuli zake kihalali baada ya kutimiza sifa au matakwa yaliyowekwa.

 

10 years ago

Mwananchi

SAIDI KANDA, MTANZANIA ANAYETHIBITISHA NIDHAMU NA VIPAJI VYETU WAAFRIKA ULAYA

Ilikuwa enzi zile za Ujamaa; enzi bendi za Kizaire zikiwika, enzi za mabasi ‘konokono’ ya UDA (Shirika la Usafiri Dar es Salaam), enzi Mwalimu Nyerere akiogopewa na kuheshimika, enzi bendi nyingi za Watanzania zikitegemea kudra ya mashirika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

DK HAMZA KONDO: Mtanzania kwa kwanza kutunukiwa PhD ya mawasiliano ya umma nchini

CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa chuo cha kwanza Tanzania tangu nchi ipate uhuru kutunuku shahada ya uzamivu ya mawasiliano ya umma (PhD in Mass Communication) kati ya vyuo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kifo cha kwanza chathibitishwa Ulaya

Mtalii wa Uchina ameaga dunia Ufaransa kutokana na virusi vya corona - kifo cha kwanza nje ya Asia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani