Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK HAMZA KONDO: Mtanzania kwa kwanza kutunukiwa PhD ya mawasiliano ya umma nchini

CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa chuo cha kwanza Tanzania tangu nchi ipate uhuru kutunuku shahada ya uzamivu ya mawasiliano ya umma (PhD in Mass Communication) kati ya vyuo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Airtel Tanzania ni kampuni ya kwanza ya mawasiliano nchini kuingia mkataba wa ushirikiano na Apple

SONY DSC

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel, Prisca Tembo...

 

9 years ago

Michuzi

Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama "Airtel care App"  Application hii mpya ya "Airtel care App" ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa "Airtel care App" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson...

 

11 years ago

GPL

WASANII NCHINI KUTUNUKIWA TUZO

Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mungereza (wapili kushoto) akiserebuka na wasanii wa Kundi la Jipe Moyo la mkoani Dodoma. Waalikwa wakifuatilia mambo.…

 

10 years ago

Michuzi

RIPOTI YA KWANZA YA UTEKELEZAJI KUZINDULIWA KWA UMMA MACHI 5, 2015

Dar es Salaam, Jumanne, Machi 3, 2015 – Serikali ya Tanzania itatoa taarifa ya Utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa! (BRN), Alhamisi; tarehe 5 Machi 2015, kuhusu utekelezaji wa mikakati iliyowekwa katika Sekta Sita za Kipaumbele (NKRAs) zilizotekelezwa katika mwaka 2013/14. Sekta hizo ni: Kilimo, Elimu, Nishati, Uchukuzi, Maji, na Utafutaji Raslimali Fedha.
Ripoti ya Mwaka ya BRN imeandaliwa kuendana na utamaduni wa BRN wa kuweka vipaumbele, malengo na mfumo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

NICK WA PILI KUWA MSANII WA KWANZA WA BONGO FLAVOUR KUCHUKUA PhD TANZANIA.

Rapper kutoka kundi la Weusi Nick wa pili amesema anatarajia kurudi chuo kuchukua PhD, Mwaka jana Nicki wa pili alifanikiwa kuchukua Master na kuwa kati ya A-list ya wasanii wa Tanzania wenye Kisomo cha kuridhisha lakini mweusi huyu anaonekana kutoridhika bado baada ya kuonesha nia ya kurudi tena chuo ili kuchukua PhD , Rapper wa ngoma ya "sitaki kazi" alipokua akizungumza na kipindi cha XXL cha clouds fm siku ya leo Nick wa pili alifunguka kuwa Tayari ameapply na amepata nafasi chuo kikuu...

 

9 years ago

Bongo5

Hemedy PHD aahidi kuachia album yake ya kwanza ‘VIRGO’ February mwakani

Hemedy PHD amesema kuwa anatarajia kuachia album yake ya kwanza ifikapo mwezi February mwakani 2016. Muimbaji huyo ambaye pia ni muigizaji wa filamu, amesema album yake hiyo ya muziki itaitwa ‘Virgo’ na itakuwa na jumla ya nyimbo 18. Hiki ndicho ameandika kupitia Instagram; “INSHALLAH FEBRUARY 2016 MY VERY FIRST MUSIC ALBUM WILL BE OUT!THE ALBUM […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkongo wa Taifa wasaidia kushuka kwa gharama za mawasiliano nchini

PRISCA ULOMI

Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi. Prisca Ulomi akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya mkongo wa Taifa ikiwamo kusaidia kushuka kwa gharama za Mawasiliano nchini. Kushoto ni Mkurugenzi huduma za mtandao wa TTCL Mhandisi Joram Lujara.

mHANDISHI ANIFA CHINGUMBE

Mratibu wa Ufundi kutoka Ofisi ya Mkongo wa Taifa Mhandishi Anifa Chingumbe akiwaonesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) maeneo ambayo mkongo wa Taifa umepita, Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Chaula aipongeza TCRA kwa mafanikio udhibiti wa mawasiliano nchini

 Katibu Mkuu wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Mawasiliano Dkt.Zainabu Chaula akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali katika mamlaka hiyo. Katibu Mkuu wa Mawasiliano Dkt.Zainabu Chaula akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Mhandisi James Kilaba kuhusiana na mtambo wa kuangalia masafa wakati alipotembea Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani