Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Chaula aipongeza TCRA kwa mafanikio udhibiti wa mawasiliano nchini

 Katibu Mkuu wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Mawasiliano Dkt.Zainabu Chaula akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali katika mamlaka hiyo. Katibu Mkuu wa Mawasiliano Dkt.Zainabu Chaula akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Mhandisi James Kilaba kuhusiana na mtambo wa kuangalia masafa wakati alipotembea Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DKT ZAINAB CHAULA, KATIBU MKUU MPYA AWASILI WIZARANI MAWASILIANO

❖ Asema TEHAMA Itatutoa Kwenye Changamoto, Tuitumie Kama Fursa
❖ Serikalini Ni Kama Nyumba, Amehamia Chumba Kingine
❖ Amewataka Wafanyakazi Wasiwe na Hofu kwa Kuwa Corona ni Mafua Tu

Na Prisca Ulomi, WUUM, Dodoma

Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula, amewasili rasmi leo Wizarani hapo Mji wa Serikali, Mtumba, Dodoma kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Sekta hiyo mara baada ya kuhamishwa kutoka Wizara ya Afya,...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Chaula aahidi kuleta mabadiliko Sekta ya Mawasiliano, asisitiza uwajibikaji na mahusiano bora kazini


Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na wafanyakazi wa Sekta yake katika kikao cha wafanyakazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa TBA, Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Jim Yonazi na kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utumishi na Rasilimali Watu, Kitolina Kippa.
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Mawasiliano, Bi Laurencia Masigo, akiwasilisha hoja za wafanyakazi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na...

 

10 years ago

GPL

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YASAINI MIKATABA KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Katikati) akiwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  Prof. John Nkoma, CEO wa TTCL Dr. Kamugisha Kazaura wakiweka sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea… ...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. CHAULA AWATAKA WANANCHI KUWA NA BIMA YA AFYA


Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Zainab Chaula akiongea na watumishi wa kituo cha afya kaigara(hawapo pichani)wakati wa ziara yake wilayani muleba.Kushoto ni Mganga Mkuu wa Wilaya Muleba Dkt. Modest Burchard Mbunge wa Muleba Prof.Anna Tibaijuka akiongea na watumishi wa kituo cha afya wakati wa ziara ya katibu mkuu
Katibu Mkuu Dkt.Zainab Chaula akiwasalimia wananchi waliofika kupata huduma kwenye kituo cha afya,ambapo aliwahamasisha akina mama kuwapatia chanjo zote watoto wao Wakazi wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAPENI ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA WANANCHI-DKT.CHAULA


Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu afya Dkt. Zainab Chaula akiongea na waganga wakuu wa mikoa(hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kujadili utayari wa kukabiliana na tishio la mlipuko wa virus vya corona kwenye ukumbi wa mkutano wa hospitali ya taifa muhimbili-mloganzila
Baadhi wa waganga wakuu wa mikoa na maofisa kutoka wizara ya afya walioshiriki mkutano wa kujadili tishio la ugonjwa wa Corona.
Naibu Mkuu anayeshughulikia afya kutoka Ofisi ya...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. CHAULA AKAGUA UJENZI WA JENGO LA UMOJA WA POSTA WA AFRIKA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt. Zainabu Chaula (wa kwanza kulia) akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa ujenzi wa jengo la ofisi za PAPU, Arusha, Mhandisi Hanington Kagiraki wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo. Anaesikiliza ni Naibu Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawasiliano, Dkt. Jim Yonazi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (wa pili kulia) akisisitiza jambo...

 

5 years ago

Michuzi

WAGANGA WA TIBA ASILI/MBADALA FUATENI SHERIA-DKT. CHAULA










Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akiongea na waandishi wa habari


Wanafunzi wa sekondari walioshiriki kongamano la wajasiriamali na upimaji wa afya
Watoto wakimsikiliza Katibu Mkuu(hayupo pichani)

……………………………………..

Na.Catherine Sungura, Chato

Waganja wa Tiba asili na tiba mbadala wote nchini, wametakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata Sheria, kanuni, taratibu zilizowekwa na Serikali .

Hayo yamesemwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu afya...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DK. MAGUFULI AIPONGEZA MKAPA FOUNDATION KWA UJENZI WA NYUMBA ZA MADAKTARI NCHINI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mkapa Foundation Ellen Mkondya Senkoro akimuelekeza jambo Mwakilishi wa WHO nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela katikati wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Madaktari Tanzania yaliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Afisa Mtendaji Mkuu wa Mkapa Foundation Ellen Mkondya Senkoro akiwa na Mwakilishi wa WHO nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam walipotembelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani