Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIPOTI YA KWANZA YA UTEKELEZAJI KUZINDULIWA KWA UMMA MACHI 5, 2015

Dar es Salaam, Jumanne, Machi 3, 2015 – Serikali ya Tanzania itatoa taarifa ya Utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa! (BRN), Alhamisi; tarehe 5 Machi 2015, kuhusu utekelezaji wa mikakati iliyowekwa katika Sekta Sita za Kipaumbele (NKRAs) zilizotekelezwa katika mwaka 2013/14. Sekta hizo ni: Kilimo, Elimu, Nishati, Uchukuzi, Maji, na Utafutaji Raslimali Fedha.
Ripoti ya Mwaka ya BRN imeandaliwa kuendana na utamaduni wa BRN wa kuweka vipaumbele, malengo na mfumo wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mradi wa Dat wa kwanza kwa nchi za Afrika kuzinduliwa

 

Serikali imezindua mafunzo ya madereva wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka DART ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi huo wa kwanza katika nchi za Afrika Mashariki wenye lengo la  kukabiliana na tatizo la msongamano wa magari.

Tanzania inakuwa nchi ya pili kutekeleza mradi huo kwa nchi za Afrika baada ya Afrika ya kusini na kwamba mradi huo unatarajia kuanza kutumika mapema mwezi ujao kwa kuwezesha abiria 450,000 hadi 500,000 kupata huduma ya usafiri kwa muda wa nusu saa kutoka maeneo ya...

 

5 years ago

Michuzi

RC PWANI AKABIDHIWA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KUTOKA KWA MAMA SALMA KIKWETE

VICTOR MASANGU, PWANI..

Mke wa Rais wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete ambaye pia alikuwa Mbunge wa kuteuliwa kupitia Mkoa wa Pwani na Lindi amesema ataendelea kushirikiana bega kwa bega na serikali katika miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo ile ya kimikakati pamoja na kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili wananchi.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa halfa fupi ya kukabidhi taarifa mbili za utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha mapinduzi (CCM)...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: historia yawekwa jijini Mbeye leo baada ya kuzinduliwa kwa lift ya kwanza

Bango la Uzinduzi wa lift ya kwanza jijini Mbeya. Uzinduzi rasmi wa Lift ya kwanza Jijini Mbeya ukifanyika huku shamra shamra zikiendelea.  Wadau wakipanda na kushuka kwenye lift hiyo ikiwa ni sehemu ya kusherehekea uzinduzi wake. hodiiii......

 

10 years ago

Michuzi

KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA JUMATANO FEBRUARI 25, 2015 HADI JUMATATU MACHI 02, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kutangaza kusitishwa kwa muda huduma ya treni ya Jiji  kuanzia leo  Jumatano jioni Februari 25 hadi  Jumatatu  Machi 02, 2015 itakapoanza tena.
Kwa mujibu  wa taarifa ya Uongozi wa TRL iliotolewa jioni  leo Februari 25,  2015 uamuzi wa kusitisha huduma hiyo umesababishwa  na vichwa  viwili vya treni hiyo kuharibika na kuhitaji matengenezo makubwa katika Karakana Kuu ya Morogoro .Taarifa imefafanua kuwa kwa vile kimebaki  kichwa kimoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ripoti ya ukatili wa kijinsia kuzinduliwa leo

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), leo saa 3:00 asubuhi kitazindua ripoti ya utafiti wa unyanyasaji wa kijinsia uliofanyika Desemba 2013 katika wilaya 20 za Tanzania Bara na Zanzibar. Taarifa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

DK HAMZA KONDO: Mtanzania kwa kwanza kutunukiwa PhD ya mawasiliano ya umma nchini

CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa chuo cha kwanza Tanzania tangu nchi ipate uhuru kutunuku shahada ya uzamivu ya mawasiliano ya umma (PhD in Mass Communication) kati ya vyuo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani