Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSUMAJI WA SIMBA HAJI SUNDAY MANARA AWAPONGEZA WAPENZI WAO

Wapendwa wana-Simba wenzangu,
Ninawaandikia ujumbe huu makhsus kuwashukuru kwa mara nyingine kwa kazi nzuri mliyoifanya uwanjani Leo kwa kuishangilia timu yenu mwanzo mwisho kwenye mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar uwanja wa Taita.
Mimi  naamini bila ya support yenu Simba haiwezi kufanya vizuri hata siku moja.

Pia kwa niaba ya uongozi wenu tunawashkuru sana wapenzi wetu ambao  hawakujaaliwa kufika uwanjani hii leo. Sisi tunaamini dua na sala zao zmesaidia kutupa nguvu hii leo na kupata points...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Haji Sunday Manara ndie msemaji mpya wa Simba

UONGOZI  wa Simba umemtangaza mwandishi wa habari wa siku nyingi,Haji Sunday Manara kuwa msemaji mpya wa klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi.
Katibu mkuu wa Simba Steven Ally ameiambia Globu ya Jamii kuwa Manara atachua nafasi ya Humphrey Nyasio ambaye atapangiwa majukumu mengine.
"Kamati ya Utendaji ya Simba  imemkabidhi jukumu Manara baada ya kujiridhisha pasi na shaka uzoefu wake katika masuala ya michezo na pia uzoefu wake katika mambo mbalimbali ya kiutawala, hivyo kuwa na imani kwamba...

 

10 years ago

Michuzi

Haji Sunday Manara amlilia Rafiki yake Ramadhani Masanja Banza Stone



Oooh Rama Mate...! Nilipenda kumwita hvyo. Ni kijana wa mjini hasa. ilianza nae standard one shule ya msingi darasa moja pale Mnazi Mmoja Primary school  iliyopo mkabala na iliopozaliwa TANU (ofisi ndogo ya CCM ) New street (Lumumba) na tulikuwa sote kwa miaka miwili kabla ya wazazi kunihamishia Bunge Orimary iliopo Ohio street mkabala na ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa miaka hiyo tulikuwa na uswahiba mkubwa wa kitoto. Nikikumbuka halftime mbio zetu kwenda kwa muuza...

 

9 years ago

MillardAyo

Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)

Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa eti klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda? Hili ndio jibu la afisa habari wa Simba Haji Manara. “Haruna […]

The post Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mauaji: Wanawake wanauwezekano mkubwa wa kuuliwa na wapenzi wao au waliokua wapenzi wao

Ripoti inasema kuwa asilimia 61 ya wanawake waliuawa na wanaume au waliuliwa na wapenzi wao wa sasa au wa zamani.

 

9 years ago

Michuzi

SIMBA SC yashukuru wanachama na wapenzi kwa ushirikiano wao



  Hajj Sunday Manara Mkuu wa habari wa Simba   Hajj Sunday Manara Mkuu wa habari wa Simba katika ubora wake   Hajj Sunday Manara Mkuu wa habari wa Simba kama baba yake Sunday Manara 'Computer' Rais wa Simba Mhe. Evans Aveva akitoka maelekezo toka benchi la ufundi kama Mourinho


Kwa niaba ya Rais wa klabu yenu pendwa Simba SC Mhe. Evans Aveva na uongozi mzima wa klabu napenda kuwashukuru wanachama na wapenzi wetu wote waliosafiri kutoka sehemu mbalimbali za nchi.kwenda mkoani Tanga kwa ajili ya...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA WA HAJI MANARA


Ama hakika wengi waliokuwepo Uwanja wa Taifa  jana waliondoka kwa huzuni sana. Waliondoka kwa huzuni sio sababu timu ya taifa ilifungwa. Laa hasha!! Hawakutegemea kupata matokeo ya sare kwenye mchezo wa kufuzu kucheza kombe la dunia dhidi ya miamba ya soka afrika Algeria.Tayari kwa kila mmoja mechi ilishaisha hasa baada ya kuongoza kwa goli mbili kwa bila.ila mpira ni mchezo wa makosa.mwisho wa mchezo ikawa huzuni kwetu baada ya waarabu wa kaskazin mwa afrika kusawazisha goli zote...

 

10 years ago

Mwananchi

Sunday Manara ‘Kompyuta’ Mtanzania wa kwanza Ulaya

Hivi sasa Sunday Ramadhan Manara ni babu mwenye wajukuu, ameacha mazoezi, amekuwa ‘bonge’, anakumbuka alipokuwa mchezaji alikuwa na kilogramu 74, lakini sasa anazo 110.

 

9 years ago

Michuzi

Ma-Alhaj King Majuto na Sunday Manara Computer wakutana Makka

Mwigizaji mchekeshaji nyota King Majuto akiwa na mchezaji wa zamani wa Taifa Stars na Yanga Sunday Manara 'Computer' wakiwa mjini Makka wakati wa Hijja. Hawa ni miongoni mwa Watanzania  walionusurika katika maafa ya msongamano wa watu Mina juzi uliochukua maisha ya mahujaji zaidi ya 700 kutoka kila pembe ya dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani