Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Kifo cha kwanza chathibitishwa Ulaya

Mtalii wa Uchina ameaga dunia Ufaransa kutokana na virusi vya corona - kifo cha kwanza nje ya Asia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kifo cha kwanza chathibitishwa Marekani jimbo la Washington

Rais Donald Trump amesema visa vingine vinatarajiwa lakini hakuna haja ya kuwa na wasiwasi

 

5 years ago

Michuzi

Kisa cha kwanza cha Corona Afrika chathibitishwa Misri

 Wizara ya afya ya Misri imetangaza kisa cha kwanza kilichothibitishwa cha mgonjwa wa virusi vya Corona kinachokuwa cha kwanza pia barani Afrika.
Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo imesema mgonjwa aliyebainika siyo raia wa Misri lakini pia haikufafanua uraia wa mtu huyo.
Maafisa wa Misri walifanikiwa kuthibitisha kisa hicho kupitia mpango ulioanzishwa na serikali wa kuwafuatilia abiria waliowasili kutoka nchini ambazo virusi vya Corona tayari vimesambaa.
Msemaji wa wizara ya afya ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kenya yatangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya corona

Kenya imetangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa aliyekuwa akiugua virusi vya corona.

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka 24 ya kifo cha Hemed Maneti Ulaya

“Maria eeeh… Marry...! Sikiliza miziki ya Awamu ya Pili Maria, inavyolalamika juu yako… sina raha Mariaaa wala sitamani kula Maria, kama nasafiri Tanga, Moshi, Arusha Sumbawanga, nakufikiria wewe Mariaaa, sijapenda namna hii toka kuzaliwa, wala sitapenda mpaka siku ya kufaaa… aah aaaah… Mariaaa eeeeh, Adios aaah aaah….”

 

5 years ago

Michuzi

Burkina Faso yaripoti kifo cha kwanza cha Corona 'Sub-Sahara', virusi hivyo vyaua karibu 500 Italia ndani ya saa 24

Waathiriwa wa kirusi cha corona nchini Kenya wamefikia watu saba baada ya watu wengine watatu kuthibitishwa kuambukizwa kirusi hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Waziri wa Afya wa Kenya, Mutahi Kagwe amesema kuwa, watu wote hao saba wametoka nje ya Kenya. Wawili kati ya wagonjwa hao watatu wa karibuni kabisa wametokea Madrid Uhispania kupitia Dubai na mgonjwa wa tatu ni raia wa Burundi aliyewasili katika Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi akitokea Dubai...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Congo DRC yathibitisha kisa cha kwanza cha virusi vya Corona

Kisa cha kwanza cha virusi vya Corona kimethibitishwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Msemaji wa wizara ya Afya amesema Jumanne.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)

Rwanda imethibitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19) kutoka kwa raia wa India aliyewasili nchini humo

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Tanzania yathibitisha kuwa na kisa cha kwanza

Waziri wa afya nchini Tanzania Ummy Mwalimu amesema aliingia nchini kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa KIA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani