MWANAMKE ANASWA AKITAKA KUMTOROSHA BINTI
![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO72juYpw*SeYcZLz0Y7DLoWN5e7W5qBC0uU4Wx*VXVV56ioTZmAdqqLN4lg0DeS76iqb-JHFPQ5E5ALOJpjme2z/4mwanamke.jpg?width=650)
Stori: Francis Godwin, Iringa WAKAZI wa Kitongoji cha Frelimo mkoani hapa wamemkamata mwanamke aitwaye Zuhura Angero kwa madai ya kutaka kumtorosha binti wa kazi, Felenesta kwa ajili ya kumpeleka jijini Dar es Saalam kufanya kazi za ndani. Tukio hilo la aina yake limetokea saa mbili usiku Januari 12, mwaka huu baada ya wakazi hao kumwekea mtego mwanamke huyo na kumnasa. Inadaiwa kwamba mwanamke huyo ambaye ni mwenyeji wa Iringa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JCVRBTTob5nT60AFR5tMgS0YuDV*reFO3rMDR4cZZIOXFLOAQrJkLapFhe87F7hbQMks5oat2TLpCYOTc-50SXk1GW6x6fVC/ametakamwcopy.jpg?width=650)
EE! MUNGU: MFANYABIASHARA WA MAGARI ANASWA AKITAKA KUMLAWITI MODO MAARUFU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ*JFHGnwS4bBmeAvd8qUqNGLvsvDD3xVeLL5noSQfy427kx2VbzpKus2-kFqtY62pNqaD7DqbnQb8nto9Ysw1pC/Musa.jpg)
ANASWA AKITAKA KUIBA, ANG’OLEWA MENO KWA KOLEO
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
Ajikata uume akitaka kuwa mwanamke
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx*07ZctfuuCboKsuCJm2j4VNbai2VP20QU3sQzSsPQzY0mQk5sLiqS5mnsxRE2xWzH7KMnJznQcJHN3nArySLQg/mchungaji.jpg)
MCHUNGAJI ADAIWA KUMTOROSHA MWANAMKE
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa?
Katika maisha kila mtu ana malengo na mipango yake, hata tukija katika ishu za kutafuta mchumba au kuoa kila mtu ana vigezo vyake, basi mimekutana na kigezo cha mmoja kati ya rapper wakali kutoka Nigeria ambaye jina lake la kuzaliwa ni Jude Abaga ila mtaani anafahamika kama Mr Incredible (MI). MI Abaga ambaye ni CEO wa […]
The post Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa? appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhz*hI7DSjVyjVaW6VBm00SUhDYAb3Jjlu11dD9xIJ2mq*P9g*g6ptLDYKGNBbmyNmHbSVLI1j2P9tZ85Zn9UzPI/BACKWIKIENDAR.jpg?width=750)
BINTI AGOMA KUFUNGA ANASWA NA WANAUME 2
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Mwanamke anaswa na ngozi za chui
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Mwajuma Hamisi, mkazi wa Yombo Vituka kwa kosa la kukutwa na ngozi mbili za chui kinyume cha sheria, zenye thamani...
11 years ago
Habarileo19 Apr
Polisi mwanamke aiba mtoto, anaswa
OFISA wa Jeshi la Polisi nchini, anashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mbeya akituhumiwa kuiba mtoto mchanga mwenye umri wa siku saba.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-BSXRiis2KHhBi5Kaug68f0VI457xnfgTtlyfDZN5G0YtYcMuBoE6JdyWeZC1NVFhx2ezYgfky2tjwC-itaj*BQ/tapeli.jpg)
MWANAMKE ANASWA KWA SOO LA UTAPELI