Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANASWA AKITAKA KUIBA, ANG’OLEWA MENO KWA KOLEO

Na Mwandishi  Wetu Mbeya
Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Musa hivi karibuni alichezea kichapo cha nguvu kisha kung’olewa meno kwa koleo baada ya kunaswa akitaka kuiba nyumbani kwa mtu. Kijana Mussa akiwa hoi baada ya kung'olewa meno. Tukio hilo lilitokea katika mji mdogo wa Tunduma uliopo wilayani Momba mkoani hapa ambapo kijana huyo alinaswa akiingia kwenye nyumba iliyopo Mtaa wa Tazara, Kata ya Kaloleni ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

Kijana ang'olewa meno 232

Madaktari nchini India wametumia saa 7 kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai mwenye umri wa miaka 17 aliyekuwa akipata maumivu ndani ya kinywani .

Dr Sunanda Dhiware, mkuu wa Kitengo cha tiba ya meno katika hospitali ya JJ mjini Mumbai ameiambia BBC kuwa wamefanikiwa kuyang’oa meno 232 kinywani mwa Ashik aliyeletwa hospitalini hapo akiwa amevimba taya huku akilalamika kwa maumivu makali.
Madaktari wamesema wamelazimika kutumia nyundo na tindo kuyatoa meno hayo na wakadai...

 

11 years ago

BBCSwahili

Maajabu:Kijana ang'olewa meno 232

Madaktari India watumia saa 7 kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai meno 232

 

11 years ago

GPL

KIJANA ANG'OLEWA MENO 232 NCHINI INDIA

Madaktari wakikagua meno aliyong'olewa kijana Ashik Gavai (17). MADAKTARI nchini India wametumia saa saba kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai (17) aliyekuwa akipata maumivu ndani ya kichwa. Meno aliyong'olewa kijana Ashik Gavai (17). Dk. Sunanda Dhiware, Mkuu wa Kitengo cha tiba ya meno katika hospitali ya JJ mjini Mumbai ameiambia BBC kuwa wamefanikiwa kuyang’oa meno 232 kinywani mwa Ashik...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ANASWA AKITAKA KUMTOROSHA BINTI

Stori: Francis Godwin, Iringa
WAKAZI wa Kitongoji cha Frelimo mkoani hapa wamemkamata mwanamke aitwaye Zuhura Angero kwa madai ya kutaka kumtorosha binti wa kazi, Felenesta kwa ajili ya kumpeleka jijini Dar es Saalam kufanya kazi za ndani. Tukio hilo la aina yake limetokea saa mbili usiku Januari 12, mwaka huu baada ya wakazi hao kumwekea mtego mwanamke huyo na kumnasa. Inadaiwa kwamba mwanamke huyo ambaye ni mwenyeji wa Iringa...

 

11 years ago

GPL

EE! MUNGU: MFANYABIASHARA WA MAGARI ANASWA AKITAKA KUMLAWITI MODO MAARUFU

Stori: Waandishi Wetu
EEH Mungu! Unaweza kukataa lakini ni ukweli kwamba dunia imekwisha! Mambo yanayotendeka kila kukicha juu ya ardhi yanathibitisha hilo. OFM walivyomnasa mfanyabiashara wa magari (kushoto) chumbani akitaka kumlawiti modo maarufu . Mfanyabiashara maarufu wa magari jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina la Juvenali amekumbwa… ...

 

5 years ago

CCM Blog

MEYA IRINGA ANG'OLEWA

  Baraza la Madiwani la Manispaa ya Iringa limemwondoa Meya wa Manispaa ya iringa-Chadema Alex Kimbe baada ya kupiga kura ya kutokuwa na imani nae kufuatia tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka
Kimbe ambaye anatokana na chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema ameng’olewa madarakani leo Jumamosi Machi 28, 2020 katika kikao maalum cha madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo.
Akitangaza matokeo ya kura zilizopigwa, mwenyekiti wa kikao ambaye pia ni Naibu...

 

10 years ago

Mtanzania

Spika wa Bunge EALA ang’olewa

Margaret-ZziwaNA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA,
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge 36 kati ya 49 kupiga kura za ndiyo kutokuwa na imani naye kutokana na kile kilichoelezwa ameshindwa kuongoza Bunge hilo.
Kabla ya kufikia uamuzi wa kupiga kura, Kamati ya Bunge ya Sheria, Hadhi na Madaraka ya Bunge hilo ilipewa jukumu la kuchunguza tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabili ikiwamo kuwapendelea baadhi ya wabunge, kushindwa kufuata kanuni...

 

10 years ago

StarTV

Spika Zziwa ang’olewa rasmi.

Na Magesa Magesa

Arusha.

 

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dokta Margret Zziwa ameng’olewa rasmi katika nafasi yake leo katika kikao cha dharura cha Bunge hilo kilichofanyika jijini Arusha leo.

 

Bunge hilo limekutana baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kutupilia mbali maombi ya Spika Zziwa ya zuio la muda dhidi ya kikao hicho ambacho kilikuwa na hoja ya kupokea, kujadili na kuamua taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Spika kutoka Kamati ya Sheria, Kanuni na Madaraka...

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Eala ang’olewa madarakani

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), jana walimng’oa madarakani Spika, Dk Margret Zziwa baada ya kukubaliana na mapendekezo ya Kamati ya Sheria, Kanuni na Madaraka ya Bunge kuwa amepoteza sifa za kuendelea kushikilia wadhifa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani