HILI SOO LA IPTL LIMEKAA VIBAYA
![](http://api.ning.com:80/files/YLaeso7tISARG8dl4P7Cb40bTrOgeijH5Cz01iG*orBVzFeGBUGvng7rhwn0HyfURWQjJ3ePOmvhWbKIOOFppjqhL83j8CSp/muongo.jpg?width=650)
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. Na Ojuku Abraham MOTO wa ripoti ya upotevu wa fedha za umma katika akaunti ya Tegeta Escrow, ambayo imekabidhiwa kwa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) inayoongozwa na Zitto Kabwe unatarajiwa kuwaka Novemba 27, mwaka huu, siku ambayo itasomwa na kujadiliwa bungeni baada ya Mwanasheria Mkuu wa serikali na vigogo wengine kadhaa kuhojiwa. Akaunti ya Tegeta Escrow...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-BSXRiis2KHhBi5Kaug68f0VI457xnfgTtlyfDZN5G0YtYcMuBoE6JdyWeZC1NVFhx2ezYgfky2tjwC-itaj*BQ/tapeli.jpg)
MWANAMKE ANASWA KWA SOO LA UTAPELI
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Bunge la Katiba mpya tumeanza vibaya, tutamaliza vibaya
UTEUZI wa wajumbe wa Bunge la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi hauonekani kuwa na jambo jipya, umezingatia yale yale yaliyokuwa yanatarajiwa kwa kiwango kikubwa. Ni uteuzi uliowaweka walalamikaji...
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Nasri ajeruhiwa vibaya
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Obama:Tumekadiria vibaya nguvu ya IS
9 years ago
Habarileo22 Nov
Zanzibar yaanza vibaya Chalenji
TIMU ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes jana ilianza vibaya michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Burundi katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Addis Ababa, Ethiopia.
10 years ago
Habarileo23 Oct
Wanaotumia vibaya simu kukiona
SERIKALI imeahidi kuja na sheria itakayozuia matumizi mabaya ya mitandao ya simu yanayohusisha usambazaji wa picha za ngono, wizi na taarifa zingine zinazochangia kubomoa maadili ya Mtanzania.
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
CCM yatumia wasomi vibaya
JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupigania mfumo wa serikali mbili zimechukua sura mpya baada ya kubainika kwamba sasa kimeamua kuwatumia wasomi 100, wakiwemo maprosesa kutunga kitabu kutetea msimamo wake...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm0f5gJ71k2irhvvXqP0BOBHdxRGPVnFodzXDXNof3LPDp7gbIPRKNRLIqb7RtLlHTGOd8CzwLTFGce*bBKEw0tu/lion2.jpg)
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Jabu aanza vibaya Ashanti