Jabu aanza vibaya Ashanti
>Beki wa kushoto wa Ashanti United, Juma Jabu ameanza kibarua kwa mikosi baada ya kuumia bega, ambapo atalazimika kukaa nje ya uwanja wiki moja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Kobe Bryant aanza vibaya NBA
Mchezaji nguli wa mchezo wa kikapu Nchini Marekani Kobe Bryant amerejea vibaya katika kikosi chake cha LA Lakers.
11 years ago
Michuzi29 Jun
KAGASHEKI CUP 2014: BILELE 1 vs RWAMISHENYE 3, BINGWA MTETEZI AANZA VIBAYA!! ACHAPWA NA WANA BODABODA RWAMISHENYE FC!





11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Bunge la Katiba mpya tumeanza vibaya, tutamaliza vibaya
UTEUZI wa wajumbe wa Bunge la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi hauonekani kuwa na jambo jipya, umezingatia yale yale yaliyokuwa yanatarajiwa kwa kiwango kikubwa. Ni uteuzi uliowaweka walalamikaji...
10 years ago
VijimamboMAREHEMU MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI MHE. JABU KHAMIS MBWANA AZIKWA PEMBA
10 years ago
Bongo528 Feb
PAPASO: Sidhani kama wasanii wote wa filamu hawajatulia, mimi nimetulia — Salma Jabu (Nisha)
Muigizaji wa filamu Tanzania, Salma Jabu a.k.a Nisha amefunguka mambo mengi yanayomhusu ikiwemo filamu, mahusiano yake, tuhuma za kuwa miongoni mwa wasanii wa kike wanaosemwa kwa kuvaa nusu utupu nk. Amezungumza hayo kupitia mahojiano na kipindi cha Papaso cha TBC Fm na D’Jaro Arungu ambacho hurushwa kupitia TBC 1.
10 years ago
Vijimambo
ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA NDG JABU KHAMIS MBWANA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO

Innaa lillaahi wainnaa ilayhi Raaji'un
Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Nd. Jabu Khamis Mbwana amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Kijiji kwake Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Marehemu Jabu alikuwa akisumbuliwa na homa kwa takriban wiki moja sasa na maziko yatafanyika huko Kiuyu saa nne za asubuhi leo hii.
Mkuu huyo wa Wilaya ya...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
11 years ago
Mwananchi03 Apr
‘Wakongwe mizigo Ashanti’
Kocha wa Ashanti United, Abdalah Kibadeni ‘King’ amewaangushia jumba bovu wachezaji wake wakongwe kwa kusema matokeo duni ya timu yake yamechangiwa na wao kushindwa kutimiza wajibu wao.
11 years ago
TheCitizen27 Feb
Azam crush Ashanti to go top
Azam FC returned to the summit of the Vodacom Premier League table after beating relegation-haunted Ashanti United 4-0 at Chamazi Complex yesterday.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania