Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baby Madaha aanguka chooni, avunjika mguu

IMG_8153Msanii wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha akiwa na  P.O.P mguuni.

Musa mateja
MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha hivi karibuni alipata majanga baada ya kuanguka chooni na kuvunjika mguu wa kulia, Amani lina taarifa zote.

Tukio hilo lilitokea nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar ambapo staa huyo alitoka kwenye matembezi yake usiku wa manane akiwa amepiga ‘mtungi’ wa kutosha.

Inadaiwa kuwa, alipofika kwake alihitaji kwenda bafuni kuoga. Hata hivyo, alianzia chooni...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA AANGUKA CHOONI

WAANDISHI WETU NYOTA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye alipata ajali na kusababisha kukatwa kwa mguu wake wa kulia, juzikati alijikuta akianguka chooni akiwa nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam  na kuumia mguu wake mzima. Nyota wa filamu za Kibongo, Wastara Juma. Chanzo cha habari kilichokuwepo wakati wa tukio hilo, kililiambia gazeti hili kuwa Wastara alilazimika kuchechemea kwa kutumia mguu wake wa bandia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aanguka chooni, afariki dunia

MKAZI wa Kigogo, Anthony Mbezi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 70-75 amefariki dunia juzi baada ya kuanguka chooni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema...

 

11 years ago

GPL

AGONGWA NA KIBERENGE, AVUNJIKA MGUU

Mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge. Pikipiki ambayo imegongwa na Kiberenge.…

 

9 years ago

Mtanzania

Dk.Bisimba anusurika kifo, avunjika mguu

Pg 1Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

MKURUGENZI wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dk. Hellen Kijo-Bisimba amenusurika kifo ajalini.

Dk. Kijo-Bisimba alipata ajali mbaya ya gari katika daraja  la Salender   Dar es Salaam jana.

Katika ajali hiyo, Dk. Kijo-Bisimba anadaiwa kuvunjika mguu mmoja baada ya gari lake kupoteza mwelekeo na kupinduka mara nne.

Ajali hiyo ilitokea  jana asubuhi wakati   akitoka kusali eneo la Posta   akitumia gari dogo   ya Toyota Prado   namba   T 159...

 

11 years ago

Habarileo

Askari avunjika mguu akipambana na majangili

ASKARI wa Wanyamapori katika Pori la Akiba la Ugalla mkoani hapa, amejeruhiwa wakati yeye na wenzake wakikabiliana na majangili.

 

11 years ago

GPL

BODABODA YAGONGANA NA GARI, DEREVA AVUNJIKA MGUU MORO

Dereva bodaboda na pikipiki yake baada ya kugongana na gari. Wasamaria wema wakimbeba dereva bodaboda kumpeleka kwenye gari. Gari aina ya…

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA

Baby Joseph Madah. Na Waandishi Wetu AMA kweli maovu yanazidi kuongezeka, shetani naye mbioni siku zote kunasa waliyo wake, kauli hizo zote ziko sambamba na staa wa sinema za Kibongo na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Baby Joseph Madaha amenaswa baada kuingia mkenge mtego wa kujiuza, Ijumaa limesheheni. Kumekuwa na skendo kuwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo hujihusisha na biashara ya kujiuza ili kujipatia kipato na kufanya...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AUMBUKA

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea kukomaa katika gemu kwa kuachia kazi mpya na kuandaa matamasha mbali mbali. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha akiwa kwenye pozi. Msanii huyo alitoa uamuzi huo kwa madai kuwa alichoshwa na skendo za kila kukicha ambazo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani