MAKUBWA! MAMA WEMA AKESHA AKIOMBA DIAMOND AFUMANIWE
![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JlEU3yxTIlmtr5mfaWP9qPJBv2dWwqmOQBf8E6FlBXAJbuQbXYbDhppQP8piDAM3YjINZdQ7lzddCupFUfUPIIj/makubwa.jpg?width=650)
Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani MAMA wa Miss Tanzania 2006 aliye pia staa wa muvi za Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu amesema anamwomba Mungu bintiye huyo amfumanie mpenzi wake asiyemkubali, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Amani lina picha kamili. Wema na Diamond. Akizungumza na mapaparazi wetu juzikati jijini Dar es Salaam, mama Wema alisema: “Najua kwa sasa sina tena mamlaka ya kuingilia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dZFHUoLmNeq3N7Kyoehy96b7Dd1-r5I9uVOPLSQzUMLrcgl*LTkOL-6GQR6oeBtuy94APxz4TplY1c945*HbcgH/lulu.jpg?width=650)
KESI YA KIFO CHA KANUMBA, LULU AKESHA AKIOMBA
Stori: imelda Mtema na Mayasa Mariwata
STAA wa Filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hivi sasa anakesha akiomba ili mambo yaende vizuri katika kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, Ijumaa lina maelezo yake ya kutosha. Lulu amemwambia paparazi wetu kuwa alishaanza kuyasahau matatizo hayo lakini hataweza kupingana na amri ya mahakama iliyopanga kuanza kusikiliza...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s72-c/meninah.jpg)
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s640/meninah.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zNsEY*-CrKPkwxi5-2yE-m76BAXCZl9tkS4bRtuSNWp8*NBDXmTQmIAG2wIxoSWJxvUUfY5xUZfHXVdYmqZLwsUJFJx589r/diamond.jpg?width=650)
MAMA DIAMOND AMKARIBISHA WEMA
Brighton Masalu MAMBO yamekuwa mambo! Siku chache baada ya mzazi mwenza wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutimka Bongo na kuelekea kwake nchini Afrika Kusini ‘Sauz’, mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameibuka na kusema hana kinyongo na mpenzi wa zamani wa mwanaye, Wema Sepetu ‘Madam’ na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqLi-Q3AeRydkPLzLzeq-9MUPqRJS6KtfA3iDcXlVYg1rU6K6jFmkDNWCY33FUsazf3SET5N7Cl93B9CMWSIVwsO/wema.jpg)
MAPENZI: WEMA NA BABA, DIAMOND NA MAMA
Stori: Hamida Hassan
Tofauti na mastaa wengine ambao huandika majina ya wapenzi wao kwenye miili yao kuonesha jinsi wanalivyo na mapenzi nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu wamekuwa tofauti, Ijumaa limegundua. Tattoo ya Diamond Platinum ikionekana kwenye mkono wake wa kushoto. Mastaa hawa wameonyesha kuwa na mapenzi na wazazi wao ambapo mwandishi wetu amebaini Diamond ameandika jina la mama yake mkononi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVpLvEXI3paQjxMCt4MdCcA*229cIJ921F6NAbRaugVCFCBhOIO4-Fj7lNRnaD5yQLHooav1s*xO7o-DBd5dcb5S/MAMAWEMA.jpg?width=650)
MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA
HII ni mara ya pili ninaandika kuhusu Miriam Sepetu, mama mzazi wa muigizaji nyota, Wema Sepetu. Bado ninakumbuka vizuri nilichokiandika mara ya kwanza, ilikuwa ni kuhusu tabia yake wakati ule. Alipenda sana kuzungumza na magazeti kuhusu nyenendo za mwanaye katika uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond. Ingawa ni kweli mzazi ana nafasi muhimu katika maisha ya kimapenzi ya mtoto wake, lakini siyo jambo la busara kuingilia kupita...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CrqcuZV2*cnsG-*dgcGQtrkNM7lnXEDt07bXAgH*S00JduXB9DqV6htitv6PrHfZo58d7ZbXeQZ-qJEvSW4wtyM/wema.jpg)
KAN'TANGAZE: MAMA'KE DIAMOND ANASWA NYUMBANI KWA WEMA
Na Waandishi Wetu KANTANGAZE! Hiyo ndiyo kauli pekee inayoweza kuakisi picha za tukio la Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akiwa na ‘mkwewe’, Sanura Kasimu ‘Sandra’ wakiwa pamoja nyumbani kwa staa huyo wa filamu Bongo, Kijitonyama jijini Dar. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akimnawisha Diamond Platinum kwa ajili ya kupata futari. Kwa mara ya… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania