Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN-ICTR Yamaliza Kazi yake Arusha, mpiganaji Danford Mpumilwa ashukuru kuhitimisha ngwe yake salama na kwa ufanisi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughullikia Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) hivi majuzi imefanya sherehe za kumaliza kazi zake baada ya miaka 21 toka ilipoanzishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Sherehe hizo zilikuwa ni pamoja na mkutano mkubwa uliowaleta watu mashuhuri kutoka pande zote duniani na viongozi wa UN kutoka New York, na uzinduzi wa Bustani ya Amani -Peace Park - mjini Arusha.Mahakama hiyo iliwakamata na kuwahukumu watu wazito wa Rwanda 83 wakiwemo Mawaziri...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mpiganaji Danford Mpumilwa ndani ya kampala

 Mpiganaji Danford Mpumilwa, Afisa Habari wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yenye makazi yake mjini Arusha.akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari wa Uganda mjini Kampala kuhusu kazi za mahakama hiyo inayoadhimisha miaka 20 mwezi Novemba mwaka huu. Kulia kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Mambo ya Nje wa Mahakama hiyo Bocar Sy. ICTR inategemea kumaliza kazi zake hapo mwakani baada ya kuwakamata na kuwahukumu watuhumiwa 83 kati ya 92...

 

10 years ago

Michuzi

Sherehe ya mtoto wa Mpiganaji Rhoda Danford Mpumilwa ya Kupokea Komunyo

 Jumapili iliyopita ilikuwa siku maaalum kwa Binti Rhoda Danford Mpumilwa ambapo alipokea Holy Communion hapo kwenye kanisa la Katoliki la Holy Family Njiro mjini Arusha. Katika sherehe hiyo alisindikizwa na familia yake wakiwamo dada zake,Leah Danford Mpumilwa (mkubwa) na Tuli Danford Mpumilwa. (mdogo wake).Rhoda na dada zake mkubwa Leah (kushoto) na Tuli. Rhoda (kulia) akisindikizwa na mdogo wake Tuli   kwenda kanisani.

 

10 years ago

Michuzi

KINANA KUHITIMISHA ZIARA YAKE JIJINI ARUSHA LEO.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa barabara ya Mwanama- Olorien ambayo itajengwa kwa kiwango cha lami,Ndugu Kinana pia aliitembelea na kuikagua barabara hiyo. Ujenzi wa barabara ya Mwanama- Olorien ambayo itajengwa kwa kiwango cha lami ukindelea ambapo Ndugu Kinana pia aliitembelea na kuikagua.   Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akitembelea kiwanda cha General Tyre eneo la Themi,jijini Arusha,ambapo Kiwanda hicho Serikali imeamua kukifufua na kuanza...

 

9 years ago

Mwananchi

UN-ICTR yamaliza kazi nchini

Arusha. Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) imefunga shughuli zake nchini huku ikiiachia kazi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (MICT) cha upatikanaji, ukamataji na usikilizwaji wa kesi ya watuhumiwa tisa wa mauaji.

 

10 years ago

Michuzi

mdau ashukuru kwa kufanikishiwa harusi ya dada yake

Mdau mohammed Mgori (Mtarajiwa) anapenda kutoa shukurani kwa ndugu, jamaa, jirani na marafiki kwa kuweza kufanikisha kufanikisha Harusi ya dada yake Ashura Mgori iliyofanyika tarehe 27 March 2015. Anasema asanteni sana sana Allah awalipe kila Mmoja wenu.

 

10 years ago

GPL

UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)

Kamati ya Usalama na Maadili tayari imemaliza kikao chake. Kamati Kuu itaanza kikao chake saa 10 jioni

 

5 years ago

Michuzi

SHUKURANI ZA MPIGANAJI EMMANUEL KIHAULE KWA MAMA YAKE MLEZI RITA CHE-MPONDA


Na Emmanuel KihauleKuna watu ni malaika waliotumwa na Mungu kuja hapa duniani kusaidia wengine wenye uhitaji.(Ndefu kidogo lakini naamini na wewe utaguswa sana).
Naona watu kadhaa akiwemo rafiki yangu George Kalimah wamenitaka niandike leo hii hii kuhusu namna huyu Mama Rita Che-Mponda (pichani juu na mumewe) alivyogusa maisha yangu anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa leo. Mama huyu ni Mke wa Marehemu Dkt. Aleck Humphrey Che-Mponda aliyekuwa mwalimu wa vyuo vikuu kadhaa hapa nchini na...

 

9 years ago

Michuzi

MPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Kutoka shoto ni Mpiganaji Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo akimlisha Keki Mama yake Mzazi Stumai Maneno kama heshima katika Hafla ya Sherehe ya kuzaliwa kwa mwana Libeneke Fadhiri Atick kutimiza Miaka kadhaa iliyo fanyika nyumbani kwao huko jijini mbeya jana Tar.07-09-2015.Kutoka kulia ni Tecla Rashid na Fadhiri Atiki akizungumza jambo katika Hafla hiyo....Kutoka Shoto ni Mrs.Lweja akimpongeza Mwanalibeneke Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Katika HafLa hiyo ya kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa...

 

11 years ago

Michuzi

mpiganaji cecy jeremiah afiwa na mama yake

Habari wadau, naomba kuwajulisha kuwa mwanafamilia mwenzetu ndani ya TASWA na tasnia ya habari kwa ujumla Cecy Jeremiah wa Redio Uhuru, Dar es Salaam amefiwa na mama yake mzazi jana jioni. Msiba upo Mbezi Makonde, njia ya kwenda shule za St.Mary's. Namba ya Cecy ni 0714-058566, tumfariji katika kipindi hiki kigumu.
Ahsante, Katibu Mkuu TASWA 24/04/2014

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani