Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpiganaji Danford Mpumilwa ndani ya kampala

 Mpiganaji Danford Mpumilwa, Afisa Habari wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yenye makazi yake mjini Arusha.akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari wa Uganda mjini Kampala kuhusu kazi za mahakama hiyo inayoadhimisha miaka 20 mwezi Novemba mwaka huu. Kulia kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Mambo ya Nje wa Mahakama hiyo Bocar Sy. ICTR inategemea kumaliza kazi zake hapo mwakani baada ya kuwakamata na kuwahukumu watuhumiwa 83 kati ya 92...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Sherehe ya mtoto wa Mpiganaji Rhoda Danford Mpumilwa ya Kupokea Komunyo

 Jumapili iliyopita ilikuwa siku maaalum kwa Binti Rhoda Danford Mpumilwa ambapo alipokea Holy Communion hapo kwenye kanisa la Katoliki la Holy Family Njiro mjini Arusha. Katika sherehe hiyo alisindikizwa na familia yake wakiwamo dada zake,Leah Danford Mpumilwa (mkubwa) na Tuli Danford Mpumilwa. (mdogo wake).Rhoda na dada zake mkubwa Leah (kushoto) na Tuli. Rhoda (kulia) akisindikizwa na mdogo wake Tuli   kwenda kanisani.

 

9 years ago

Michuzi

UN-ICTR Yamaliza Kazi yake Arusha, mpiganaji Danford Mpumilwa ashukuru kuhitimisha ngwe yake salama na kwa ufanisi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughullikia Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) hivi majuzi imefanya sherehe za kumaliza kazi zake baada ya miaka 21 toka ilipoanzishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Sherehe hizo zilikuwa ni pamoja na mkutano mkubwa uliowaleta watu mashuhuri kutoka pande zote duniani na viongozi wa UN kutoka New York, na uzinduzi wa Bustani ya Amani -Peace Park - mjini Arusha.Mahakama hiyo iliwakamata na kuwahukumu watu wazito wa Rwanda 83 wakiwemo Mawaziri...

 

11 years ago

Michuzi

Mpiganaji maulid wa kitenge ndani ya old trafford

 Mtangazaji wa michezo wa Radio One na ITV Maulid Kitenge akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa Manchester United Quintin Fortune (chini)  na Bryan Robinson (juu) kwenye uwanja wa Old Trafford muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya Manchester United na Norwich City

 

10 years ago

Vijimambo

HAPA NA PALE YALIYOJIRI USIKU WA ZARI NA VIVAZI VYEUPE DIAMOND NDANI YA KAMPALA


Baadhi ya picha zilizochukuliwa usiku huu kwenye show ya #Zari_AllWhite_CirocParty hizi hapa…Watu wakiwa wamejipanga tayari kuelekea ndani ya mjengo.Habari ndiyo hii palikuwa hapatoshi kiroho safiWarembo walikuwa full kupendeza picha kwa hisani ya Dj Choka.

Credit @chokadj

 

10 years ago

BBCSwahili

FBI yamtambua mpiganaji wa jihad

Shirika la upelelezi,FBI limesema limemtambua aliyeshiriki mauaji ya wanahabari na mfanyakazi wa shirika la misaada

 

11 years ago

Michuzi

MPIGANAJI TILATA WA STAR TV KAZINI

 Hakuna kazi rahisi,na kila kazi inahitaji kujituma,ubunifu na umakini wa kutosha ili kupata kilicho bora.Pichani ni Mwandishi mtayarishaji,Mtangazaji na mpiga picha mahiri  wa kituo cha televisheni cha Star TV,chenye makao yake makuu jijini Mwanza,Mpiganaji Abdallah Tilata akirekodi juu na chini matukio ya mapokezi ya mgombea Ubunge wa CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa katika Jimbo la Kalenga, alipokuwa akiwasili kata ya Kalenga-Iringa vijijini mapema leo jioni kwa ajili ya kufanya mkutano wa...

 

11 years ago

Michuzi

Buriani mpiganaji mwenzetu Max...

Maximilian John Ngube a.k.a.  'Max'  Na Muhidin Issa Michuzi Mkiwa katika kazi na kukuta kule kusukumana na hata kupigana makumbo na makelele hakujaanza, basi ujue hajafika bado.

Ila mara tu yeye akishatia mguu wake kwenye sehemu ya tukio ambayo wanahabari wapigapicha mmejipanga baada ya  kukubaliana wapi pa kusimama, lazima zogo liumuke.  Maana yeye ile  akifika tu hapo mahali (aghalabu alichelewa kufika kutokana na daima kuwa na kazi nyingi sehemu zingine kwa wakati mmoja) aidha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya yamsaka mpiganaji wa Alshabaab

Maafisa wa polisi nchini Kenya wametoa zawadi ya dola laki moja kwa mtu yeyote atakayemkamata raia wa Ujerumani anayetuhumiwa kuhusika katika shambulizi la kundi la Alshabaab.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mpiganaji wa IS raia wa Uingereza auawa.

Marekani imesema mpiganaji wa Kiingereza, ambaye alijiunga na kundi la Islamic State ameuawa katika shambulio la anga nchini Syria

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani