MPIGANAJI TILATA WA STAR TV KAZINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-lIwqcMT9uEE/Ux3bkv9YLTI/AAAAAAAFSwE/TRA3SYREpzc/s72-c/IMG_8269.jpg)
Hakuna kazi rahisi,na kila kazi inahitaji kujituma,ubunifu na umakini wa kutosha ili kupata kilicho bora.Pichani ni Mwandishi mtayarishaji,Mtangazaji na mpiga picha mahiri wa kituo cha televisheni cha Star TV,chenye makao yake makuu jijini Mwanza,Mpiganaji Abdallah Tilata akirekodi juu na chini matukio ya mapokezi ya mgombea Ubunge wa CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa katika Jimbo la Kalenga, alipokuwa akiwasili kata ya Kalenga-Iringa vijijini mapema leo jioni kwa ajili ya kufanya mkutano wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Express.Co.Uk16 Feb
Star Betelgeuse supernova: ESO reveals changing surface of strange star
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Mpiganaji wa IS raia wa Uingereza auawa.
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Kenya yamsaka mpiganaji wa Alshabaab
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_5DNIUsk7W8/U4OpR5rH_FI/AAAAAAAFlRo/s_uqaogPpAs/s72-c/maxi.jpg)
Buriani mpiganaji mwenzetu Max...
![](http://3.bp.blogspot.com/-_5DNIUsk7W8/U4OpR5rH_FI/AAAAAAAFlRo/s_uqaogPpAs/s1600/maxi.jpg)
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
FBI yamtambua mpiganaji wa jihad
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XMkj5h93Djo/VVry_XY9YsI/AAAAAAAHYM0/h8DsUMdRFBc/s72-c/20150519003823.jpg)
BURIANI MPIGANAJI SAMUEL CHAMLOMO
![](http://2.bp.blogspot.com/-XMkj5h93Djo/VVry_XY9YsI/AAAAAAAHYM0/h8DsUMdRFBc/s640/20150519003823.jpg)
Chamlomo alifariki muda mfupi baada ya kuugua ghafla akiwa kazini.
Timu nzima ya Globu ya Jamii inaungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Wafanyakazi wote wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kumpoteza ndugu...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-koxs0qT58ms/VYxcQnhn9WI/AAAAAAABQnc/hHjGfgBhDv8/s72-c/Mwana%2BHalisi%2BOnline%252C%2BEdson%2BKamukara.jpg)
mpiganaji Edson Kamukara afariki dunia
![](http://1.bp.blogspot.com/-koxs0qT58ms/VYxcQnhn9WI/AAAAAAABQnc/hHjGfgBhDv8/s640/Mwana%2BHalisi%2BOnline%252C%2BEdson%2BKamukara.jpg)
Mhariri wa Mwana Halisi Online, Edson Kamukara (pichani), amefariki Dunia kwa ajali ya moto nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam leo hii majira ya saa moja kasorobo jioni, baada ya kulipukiwa na jiko la gesi, habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Polisi wameuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuhifadhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi wa kifo chake.
Ofisa Uhusiano wa NMB, Viccent Mnyanyika akimkabidhi zawadi marehemu Edson Kamukara wakati wa uhai wake...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4LR6RmM8ovE/U3-TZYuIlBI/AAAAAAAFkok/zZp6Jgj92wo/s72-c/10354626_10203014554837177_7665346459191974104_n.jpg)
MPIGANAJI MAXIMILIAN NGUBE AFARIKI DUNIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-4LR6RmM8ovE/U3-TZYuIlBI/AAAAAAAFkok/zZp6Jgj92wo/s1600/10354626_10203014554837177_7665346459191974104_n.jpg)
MAREHEMU MAXIMILIAN AMBAYE ALIFAHAMIKA SANA KWA JINA LA PAPAA MAX,ALIKUWA NI MPIGA PICHA HODARI WA KITUO CHA TELEVISHENI CHA MLIMANI TV.
GLOBU YA JAMII IMEPOKEA TAARIFA ZA MSIBA HUU KWA MASIKITIKO MAKUBWA SANA NA TUNAMUOMBEA KWA MWENYEZIMUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAXIMILIAN NGUBE MAHALI PEMA PEPONI.
-AMIN.
10 years ago
Michuzisafari ya mwisho ya Mpiganaji Bernard Rwebangira
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Bernard Rwebangira likiwa tayari kwa safari ya kwenda kwenye nyumba yake ya milele kwenye Makaburi ya Kawe,Jijini Dar es salaam leo.Marehemu Bernard Rwebangira aliwahi kuwa Mpiga picha wa Kampuni ya TSN wachapishaji wa Magazeti ya Daily News, Sunday News pamoja na Habari leo.Mungu aiweke roho ya Marehemu mahapa pema Peponi, Amin.
Sehemu ya Ndugu wa Marehemu Bernard Rwebangira wakiwa ni wenye huzuni kubwa kuondokewa na Mpendwa wao, wakati wa Ibada ya kuaga mwili...