Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

safari ya mwisho ya Mpiganaji Bernard Rwebangira

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Bernard Rwebangira likiwa tayari kwa safari ya kwenda kwenye nyumba yake ya milele kwenye Makaburi ya Kawe,Jijini Dar es salaam leo.Marehemu Bernard Rwebangira aliwahi kuwa Mpiga picha wa Kampuni ya TSN wachapishaji wa Magazeti ya Daily News, Sunday News pamoja na Habari leo.Mungu aiweke roho ya Marehemu mahapa pema Peponi, Amin.
Sehemu ya Ndugu wa Marehemu Bernard Rwebangira wakiwa ni wenye huzuni kubwa kuondokewa na Mpendwa wao, wakati wa Ibada ya kuaga mwili...

Michuzi

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Matukio ya picha za mazishi ya Bernard Rwebangira Ishengoma

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa...

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA MAZISHI YA BERNARD RWEBANGIRA ISHENGOMA

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es SalaamBaadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa...

10 years ago

Michuzi

MPIGANAJI MWENZETU BERNARD RWEBANGILA HATUNAYE TENA

MWANAHABARI WA SIKU NYINGI NA ALIYEWAHI KUWA MPIGA PICHA WA KAMPUNI YA TSN (WACHAPISHAJI WA MAGAZETI YA DAILY NEWS,SUNDAY NEWS NA HABARI LEO), BW. BERNARD RWEBANGIRA (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO NA MSIBA UPO NYUMBANI KWAO MBEZI BEACH, JIJINI DAR ES SALAAM.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMINA

10 years ago

Michuzi

Safari ya Mwisho ya Mwanamuziki Banza Stone

Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja "Banza Stone" wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi  kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU AMINA NGALUMA

Waombelezaji wakitoka msikitini tayari kwa kwenda kwenye maziko. Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, Machimbo Mnarani.…

11 years ago

Michuzi

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU MAXMILIAN NGUBE

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Maxmilian John Ngube likiwa kwenye viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam mchana wa leo tayari kwa shughuli ya kuagwa na kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni.Max Ngobe alifariki Dunia mwishoni mwa wiki iliyopita kutoka na maradhi ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.
Risala fupi ikisomwa wakati wa Shughuli hiyo na Kuangwa kwa Marehemu Max Ngobe mmoja wa wanahabari wakongwe Tanzania.
Wanahabari wakirekodi tukio la kuaga Mwili wa Marehemu...

11 years ago

Mwananchi

Kufeli mitihani si mwisho wa safari, jipange

Februari mwaka huu, Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), lilitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013.

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO YA KENNETH KIDAGO LYANGA

Mwili wa Marehemu ukibebwa kutoka Kanisani tayari kwa Safari.…

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO ZA MAREHEMU MUHIDIN GURUMO

Picha kwa hisani ya…

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani