Matukio ya picha za mazishi ya Bernard Rwebangira Ishengoma
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.
![Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0459.jpg)

![Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0455.jpg)
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Apr
MATUKIO KATIKA PICHA MAZISHI YA BERNARD RWEBANGIRA ISHENGOMA
![Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0478.jpg)
![Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0459.jpg)
![Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0455.jpg)
10 years ago
Michuzisafari ya mwisho ya Mpiganaji Bernard Rwebangira
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Bernard Rwebangira likiwa tayari kwa safari ya kwenda kwenye nyumba yake ya milele kwenye Makaburi ya Kawe,Jijini Dar es salaam leo.Marehemu Bernard Rwebangira aliwahi kuwa Mpiga picha wa Kampuni ya TSN wachapishaji wa Magazeti ya Daily News, Sunday News pamoja na Habari leo.Mungu aiweke roho ya Marehemu mahapa pema Peponi, Amin.
Sehemu ya Ndugu wa Marehemu Bernard Rwebangira wakiwa ni wenye huzuni kubwa kuondokewa na Mpendwa wao, wakati wa Ibada ya kuaga mwili...
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: MATUKIO MBALIMBALI YA KAMPENI ZA MWANA DIASPORA LIBE
Mh. Mwang'ombe anaamini kuwa huwezi kuibadili Dodoma kwa kukaa nje ya mjengo. Ni lazima uingie Dodoma ili uweze kuibadilisha na kupitisha agenda za diaspora. Hivyo basi, anawaomba diaspora wote bila kujali...
10 years ago
MichuziMATUKIO YA MAZISHI YA MHE. SAMUELI NTAMBALA LUANGISA LEO JUMATANO JUNI 3, 2015 KITENDAGURO-BUKOBA.
Mamia ya Waakazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake wakiwemo na Wageni mbalimbali kutoka nje ya Mkoa huu na nje ya Nchi wamejitokeza kwa wingi kumzika marehemu Samuel Luangisa leo Jumatano juni 3, 2015 nyumbani kwake Kitendaguro nje kidogo na Mji wa Bukoba. Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera) Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.
![](http://3.bp.blogspot.com/-zvelMBoKWHU/VW9Y1nMdUvI/AAAAAAAAbxk/XJywtJ9X9Sw/s640/11271934_870514296330054_290073214_n.jpg)
5 years ago
BBCSwahili25 Mar
Coronavirus: Matukio katika picha
9 years ago
Mzalendo Zanzibar27 Aug
Matukio katika Picha CCM v UKAWA
Kisonge wameuliza Swali Lowasa wa ZNZ anasubiri nini? Magari yakisubiri kuhamisha watu wakajaze mkutano.
The post Matukio katika Picha CCM v UKAWA appeared first on Mzalendo.net.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3ay15_IFH7c/XtpQfGeIQzI/AAAAAAALsus/tDDFs5_4dp4qluoERo_FnPvCfQLNwq1JACLcBGAsYHQ/s72-c/bcaf50fc-b4fc-4792-9468-78392ab24c92.jpg)
MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-3ay15_IFH7c/XtpQfGeIQzI/AAAAAAALsus/tDDFs5_4dp4qluoERo_FnPvCfQLNwq1JACLcBGAsYHQ/s640/bcaf50fc-b4fc-4792-9468-78392ab24c92.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/cd8a9c87-5762-4ce3-98dc-4abe9138014b.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/d60cbdc7-6694-4787-b9a5-4e2c636fa7bf.jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Feb
Matukio ya picha kutoka Bungeni leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Februari, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimaa John Kwegyir, kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wananchi kutoka wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe walitembelea Bunge mjini Dodoma...