PICHA: JUST PICHA: MATUKIO MBALIMBALI YA KAMPENI ZA MWANA DIASPORA LIBE
Ni Liberatus Mwang'ombe aka "Libe" aliye wahi kukaa DMV, USA na sasa yupo kwenye harakati za kwenda Dodoma.Libe katika ubora wake
Libe akiingia mkutanono na ulinzi shirikishi
Mafuriko ya mbunge
Peoples'... POWER!!!
Akiwa njiani kuelekea kwenye mikutabo, Libe huongea na mtu mmoja mmoja
Mh. Mwang'ombe anaamini kuwa huwezi kuibadili Dodoma kwa kukaa nje ya mjengo. Ni lazima uingie Dodoma ili uweze kuibadilisha na kupitisha agenda za diaspora. Hivyo basi, anawaomba diaspora wote bila kujali...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: MWANA DIASPORA NA MBIO ZA UBUNGE: WANAMWITA RAIS WA MBARALI
9 years ago
VijimamboDEVELOPING STORY: PICHA: MWANA DIASPORA BADO AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE
10 years ago
Dewji Blog29 Jan
Matukio mbalimbali ya picha kutoka Bungeni mjini Dodoma
![PG4A9034](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/PG4A9034.jpg)
![PG4A9084](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/PG4A9084.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Matukio mbalimbali katika picha ziara ya Rais Kikwete nchini Uholanzi
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo na muhtasari wa ziara yake toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uholani Mhe Wilson Masilingi baada ya kuwasili The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van Beurden jijini the Hague,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FAY9OS-iXu8/XutZIFBRB7I/AAAAAAALuco/nC_Cg6dfJyYorPI97ed5LgQ4kIzM1nldACLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
MATUKIO KATIKA PICHA: KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI - MWANZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-FAY9OS-iXu8/XutZIFBRB7I/AAAAAAALuco/nC_Cg6dfJyYorPI97ed5LgQ4kIzM1nldACLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B1.jpg)
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: KIJANA KUTOKA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE AENDELEA KUCHANJA MBUGA MBIO ZA UBUNGE
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;
M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409
Au, wasiliana na: Rehema Sarmet 301 367 9711Lukresia 240 593 5973Jabil 240 604 0574