Coronavirus: Matukio katika picha
Baadhi ya picha zikionyesha jinsi watu katika maeneo mbalimbali duniani wanavyokabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMATUKIO MBALIMBALI KATIKA WA MKESHA WA MWAKA 2016 KATIKA PICHA
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyakea wakiwa katika mkesha wa mwaka mpya. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na mkewe wakicheza kwa furaha wakati wa mkesha wa mwaka mpya. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, akiwa na furaha wakati wa mkesha wa mwaka 2016 kwenye Uwanja wa Uhuru. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye(katikati) akicheza nyimbo za injili wakati wa mkesha wa mwaka mpya. Mwenyekiti wa Kamati ya...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar27 Aug
Matukio katika Picha CCM v UKAWA
Kisonge wameuliza Swali Lowasa wa ZNZ anasubiri nini? Magari yakisubiri kuhamisha watu wakajaze mkutano.
The post Matukio katika Picha CCM v UKAWA appeared first on Mzalendo.net.
5 years ago
MichuziMATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri wa Nchi,...
5 years ago
MichuziMatukio Katika Picha: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefunga Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akionesha zawadi ya fremu ya nembo ya Taifa iliyotengenezwa kwa madini alipotembelea mabanda katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika JNICC Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Simon Msanjira. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiangalia madini ya Tanzanite katika moja ya...
5 years ago
CCM BlogMATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa Shamsi Vuai Nahodha, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na...
5 years ago
MichuziMATUKIO KATIKA PICHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni George Mkuchika akiwasilisha mbele ya Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Mafungu ya ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021, kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Mary Mwanjelwa. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakiwa katika kikao cha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania