Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa  Shamsi Vuai Nahodha, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Matukio katika picha kutoka Bungeni mjini Dodoma leo

PG4A1852

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A1896

PG4A1867

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014. Wapili kushoto ni Naibu  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA





Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri wa Nchi,...

 

10 years ago

Michuzi

MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhandishi Athumani Mfutakamba akisoma taarifa ya kamati hiyo kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati hiyo bungeni mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, Jasson Rweikiza akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge yaMasuala ya Ukimwi Lediana Mng'ong'o akiwasilisha taarifa ya kamati yake. Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Aprili 8/2020.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai ofisini kwake bungeni jijini Dodoma leo Aprili 8/2020 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatalia mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021 ulioiwasilishwa na Waziri wake,...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchegerwa na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvomero,  Suleiman Ahmed Saddiq kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani