Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhandishi Athumani Mfutakamba akisoma taarifa ya kamati hiyo kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati hiyo bungeni mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, Jasson Rweikiza akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge yaMasuala ya Ukimwi Lediana Mng'ong'o akiwasilisha taarifa ya kamati yake. Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Matukio katika picha kutoka Bungeni mjini Dodoma leo

PG4A1852

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A1896

PG4A1867

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014. Wapili kushoto ni Naibu  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali ya picha kutoka Bungeni mjini Dodoma

PG4A9014

Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Januari 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). PG4A9034 Spika wa Bunge Anne Makinda akitoka Bungeni baada ya kulazimika kuahirisha kikao kabla ya muda wake. PG4A9084 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili kwenye viwanja vya Bunge mjini  Dodoma Januari 28, 2015. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kutoka bungeni mjini Dodoma leo

PG4A2298

 

Mbunge wa Mwibara Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.

PG4A2310

Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A2314

 

PG4A2347

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza...

 

10 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongeza Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fatma Hamid Saleh akiwasilisha taarifa ya kamati yake kwenye Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba nao wakiwasilisha taarifa za kamati zao kwenye Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma

PG4A3749

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na madiwani kutoka jimbo la Mkuranga kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 24, 2014. Madiwani hao walikwenda  Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Adam Malima ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A3758

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza na  Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema, Bungeni mjini Dodoma.

PG4A3768

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mbunge wa Mtwara Mjini  Hasnan Murji,bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014. (Picha...

 

5 years ago

Global Publishers

Matukio Ya Bungeni Mjini Dodoma Leo

 Spika wa Bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiingia katika ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha saba cha bunge la kumi na moja leo mjini Dodoma.  Spika wa Bunge la Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha saba cha bunge la kumi na moja ambapo pia alisema kiasi cha shilingi milioni themanini na tano na laki tano zimechangwa kutokana na makato ya posho ya siku moja yawabunge kwa ajili ya kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda kutoka Bungeni mjini Dodoma

PG4A0322

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitoa kauli kuhusu mgogoro wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto , Bungeni mjini Dodoma Novembe 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A0421

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Waziri wa Fedha,Saada Mkuya (kulia) na Naibu wake, Mwigulu Lameck Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 17, 2014. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A0436

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma linakoendelea Bunge la Bajeti

PG4A9866

Waziri wa Ujenzi, Mh. John Magufuli  akisoma bajeti ya Wizara  hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9913

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wabunge kutoka bunge la Uganda , Ssentongo Theopista Nabulya (kushoto) na Dr. Chris Baryomunsi, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma  Mei  21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9928

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,  Uratibu  na Bunge, William Lukuvi akisalimiana na ujumbe wa wabunge kutoka  Bunge la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio ya picha kutoka Bungeni leo

PG4A0194

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Februari, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A0221

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.

PG4A0226

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimaa John Kwegyir, kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.

PG4A0231

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wananchi kutoka wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe walitembelea Bunge mjini Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani