Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sherehe ya mtoto wa Mpiganaji Rhoda Danford Mpumilwa ya Kupokea Komunyo

 Jumapili iliyopita ilikuwa siku maaalum kwa Binti Rhoda Danford Mpumilwa ambapo alipokea Holy Communion hapo kwenye kanisa la Katoliki la Holy Family Njiro mjini Arusha. Katika sherehe hiyo alisindikizwa na familia yake wakiwamo dada zake,Leah Danford Mpumilwa (mkubwa) na Tuli Danford Mpumilwa. (mdogo wake).Rhoda na dada zake mkubwa Leah (kushoto) na Tuli. Rhoda (kulia) akisindikizwa na mdogo wake Tuli   kwenda kanisani.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mpiganaji Danford Mpumilwa ndani ya kampala

 Mpiganaji Danford Mpumilwa, Afisa Habari wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yenye makazi yake mjini Arusha.akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari wa Uganda mjini Kampala kuhusu kazi za mahakama hiyo inayoadhimisha miaka 20 mwezi Novemba mwaka huu. Kulia kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Mambo ya Nje wa Mahakama hiyo Bocar Sy. ICTR inategemea kumaliza kazi zake hapo mwakani baada ya kuwakamata na kuwahukumu watuhumiwa 83 kati ya 92...

 

9 years ago

Michuzi

UN-ICTR Yamaliza Kazi yake Arusha, mpiganaji Danford Mpumilwa ashukuru kuhitimisha ngwe yake salama na kwa ufanisi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughullikia Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) hivi majuzi imefanya sherehe za kumaliza kazi zake baada ya miaka 21 toka ilipoanzishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Sherehe hizo zilikuwa ni pamoja na mkutano mkubwa uliowaleta watu mashuhuri kutoka pande zote duniani na viongozi wa UN kutoka New York, na uzinduzi wa Bustani ya Amani -Peace Park - mjini Arusha.Mahakama hiyo iliwakamata na kuwahukumu watu wazito wa Rwanda 83 wakiwemo Mawaziri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto anayelisha familia aanza kupokea misaada

BAADA ya gazeti hili kuandika makala kuhusu mtoto Hamad Nuruabeid (4) anayeishi Mkata Mashariki, wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga ambaye analisha familia yake kwa kuokota chupa tupu za maji, ameanza...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa

Siku ya leo, mwigizaji  wa filamu, Wastara Juma alimfanyia sherehe mtoto wake wa kiume aitwae Faris ,ambae siku ya leo amefikisha umri wa miaka 10 yakuzaliwa.

Sherehe hiyo iliudhuriwa na baadhi ya waigizaji wakubwa kama, Bond Bin Sinnan amabe ni mtangazaji na muigizaji na Salma jabu “Nisha” na wengine wengi.

Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo. Tunamtakia maisha marefu kijana huyu na tungependa aje kuinga kwenye tasnia hii ya filamu.

Wastara anauliza: “Kafanana na nani huyu mtoto...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA UTARAJIO WA MTOTO YA MARRISA SILVER SPRING, MARYLAND NCHINI MAREKANI.

Mama kijacho Marrisa katika picha ya pamoja na Randy ambaye ndiye baba  wa mtoto katika sherehe yao ya utarajio wa mtoto wao iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Farida akimtunza Salma minoti kwenye sherehe ya utarajio wa mtoto ya Marrisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Marrisa amelelewa na Salma tangia alivyokua mdogo.Nargis Ameir akisherehesha...

 

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI NA WADAU WA JIJI LA MWANZA WAANZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi inayoundwa na wadau wa watoto jijini Mwanza Bw. Godfrey Salumu akifafanua utaratibu mzima wa utendaji kazi wa kamati ndogo ndogo zilizoundwa kwa wajumbe (hawapo pichani) ili kuweza kufanikisha maadhimisho hayo. Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya jiji la Mwanza Bi Eluminata Mwita akisikiliza jambo kwa makini toka kwa wajumbe (hawapo pichani). Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana, KIVULINI Bw Ramadhani Masele (kushoto)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani