PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa
Siku ya leo, mwigizaji wa filamu, Wastara Juma alimfanyia sherehe mtoto wake wa kiume aitwae Faris ,ambae siku ya leo amefikisha umri wa miaka 10 yakuzaliwa.
Sherehe hiyo iliudhuriwa na baadhi ya waigizaji wakubwa kama, Bond Bin Sinnan amabe ni mtangazaji na muigizaji na Salma jabu “Nisha” na wengine wengi.
Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo. Tunamtakia maisha marefu kijana huyu na tungependa aje kuinga kwenye tasnia hii ya filamu.
Wastara anauliza: “Kafanana na nani huyu mtoto...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboPICHA ZAIDI ZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK KUTOKA TEMBAPHOTO
Mambo ya ukodak juu ya zuria jekundu picha kutoka Tembaphoto kwa picha zaidi...
9 years ago
Bongo502 Nov
Tazama picha za Halloween za mastaa wa Marekani, zifahamu pia sherehe hizo zina maana gani
![Alicia Keys na Sw](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/11/Alicia-Keys-na-Sw-94x94.jpg)
10 years ago
Bongo528 Feb
Picha: Director Hanscana aanza kuringishia matunda ya kazi yake, apost picha akiwa ametandaza milioni kadhaa
9 years ago
Michuzi19 Nov
MWANALIBENEKE YUSKISS KISIBA ATIMIZA MIAKA KADHAA YA KUZALIWA KWAKE.
![](https://z-1-scontent-ams3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xap1/v/t1.0-9/12188914_908189302590637_4467544765152985940_n.jpg?oh=bf2841db15114cd533970708dfbd4e90&oe=56F9860F)
Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media GroupTarehe kama ya leo (Nevemba 19) miaka kadhaa iliyopita alizaliwa hivyo hii leo anafurahia siku yake ya kuzaliwa na ndugu, jamaa na Marafiki. Nasi tunamtakia maisha mema katika kuzaliwa kwake.
"Novemba 19 ni tarehe ambayo Mwenyezi Mungu aliweza kuniruhusu kutoka katika tumbo...
10 years ago
GPLWASTARA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA NA WATOTO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgYmd-qOt-5i7wUhkuvDO6QQaY4lBVkiIDyX*x6jmt9XOvi8UlL*NxTZFjdnwTGM1YyCaH*Bby64KXa8P*d9Kjjh/wastara.jpg?width=650)
WASTARA AWAHIMIZA MASTAA KUZAA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*jBModcaoiF3GFvagKhUjx3Do*yGUsNs7lPXfz084dGICuUdtxyEK8Bc2j1*mJd5iljK0B--xGDt8w61JnjABs/wastara.jpg)
STAA WASTARA APINGA MASTAA KUAGWA LEADERS
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Alichokisema Wastara Kuhusu Mastaa Kutoa Mimba
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amewahimiza mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana na tabia ya kutoa mimba hovyo.
Wastara alisema kutokana na maisha kuwa mafupi na kubadilika kila kukicha anawasihi mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana tabia ya kutoa mimba hovyo.
“Nawasihi mastaa kuachana na tabia ya kutoa mimba kwani hawajui Mungu amewaandikia watoto wangapi katika maisha yao, pia waache tabia ya kutoa mimba kwani baadaye wakati wakiwa tayari kuzaa watashindwa kuwapata na kujikuta...
10 years ago
Bongo Movies06 Jan
Wastara Azungumzia Mastaa Kususia Kisomo Cha Sajuki
Mwigizaji wa filamu Bongo, Wastara Juma amelizungumzia swala la mastaa wengi wa filamu kuto udhuria kisomo cha marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’.
Mwishoni mwa wiki iliyopita Wastara aliandaa kisomo cha kumuenzi marehemu Sajuki ambapo dua ilianzia kwenye makaburi ya Kisutu alipozikwa na kumalizika nyumbani kwake maeneo ya Tabata Barakuda jijini Dar. Tukio ambalo lilihudhuriwa na mastaa wachache kutoka kwenye tasnia ya filamu ambapo yeye Wastara hadi sasa yupo na hata marehemu mmewe...