WASTARA AWAHIMIZA MASTAA KUZAA
![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgYmd-qOt-5i7wUhkuvDO6QQaY4lBVkiIDyX*x6jmt9XOvi8UlL*NxTZFjdnwTGM1YyCaH*Bby64KXa8P*d9Kjjh/wastara.jpg?width=650)
Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma. Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amewahimiza mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana na tabia ya kutoa mimba hovyo.Akipiga stori na gazeti hili, Wastara alisema kutokana na maisha kuwa mafupi na kubadilika kila kukicha anawasihi mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana tabia ya kutoa mimba hovyo. “Nawasihi mastaa kuachana na tabia ya kutoa mimba kwani hawajui Mungu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Alichokisema Wastara Kuhusu Mastaa Kutoa Mimba
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amewahimiza mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana na tabia ya kutoa mimba hovyo.
Wastara alisema kutokana na maisha kuwa mafupi na kubadilika kila kukicha anawasihi mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana tabia ya kutoa mimba hovyo.
“Nawasihi mastaa kuachana na tabia ya kutoa mimba kwani hawajui Mungu amewaandikia watoto wangapi katika maisha yao, pia waache tabia ya kutoa mimba kwani baadaye wakati wakiwa tayari kuzaa watashindwa kuwapata na kujikuta...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*jBModcaoiF3GFvagKhUjx3Do*yGUsNs7lPXfz084dGICuUdtxyEK8Bc2j1*mJd5iljK0B--xGDt8w61JnjABs/wastara.jpg)
STAA WASTARA APINGA MASTAA KUAGWA LEADERS
10 years ago
Bongo Movies06 Jan
Wastara Azungumzia Mastaa Kususia Kisomo Cha Sajuki
Mwigizaji wa filamu Bongo, Wastara Juma amelizungumzia swala la mastaa wengi wa filamu kuto udhuria kisomo cha marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’.
Mwishoni mwa wiki iliyopita Wastara aliandaa kisomo cha kumuenzi marehemu Sajuki ambapo dua ilianzia kwenye makaburi ya Kisutu alipozikwa na kumalizika nyumbani kwake maeneo ya Tabata Barakuda jijini Dar. Tukio ambalo lilihudhuriwa na mastaa wachache kutoka kwenye tasnia ya filamu ambapo yeye Wastara hadi sasa yupo na hata marehemu mmewe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kBk*s0lw*NkXh1cvm97VDUcsNXb0dmDjuUEbjR0zbvbyax6IWATp0OqV4*RUkAPQ3UvjvoMPXeVrWnaxTm-bzwRCdSKJnBGY/wastara.jpg?width=650)
WASTARA ALIA MASTAA KUSUSIA KISOMO CHA SAJUKI
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa
Siku ya leo, mwigizaji wa filamu, Wastara Juma alimfanyia sherehe mtoto wake wa kiume aitwae Faris ,ambae siku ya leo amefikisha umri wa miaka 10 yakuzaliwa.
Sherehe hiyo iliudhuriwa na baadhi ya waigizaji wakubwa kama, Bond Bin Sinnan amabe ni mtangazaji na muigizaji na Salma jabu “Nisha” na wengine wengi.
Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo. Tunamtakia maisha marefu kijana huyu na tungependa aje kuinga kwenye tasnia hii ya filamu.
Wastara anauliza: “Kafanana na nani huyu mtoto...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY86mIhSd1SkilbzSd1sHMUhbJLy3nt4AkE-9m2oiCzgzDfjO5mZUemaejGaS1vIRh-d9BPEXH*Ma5pOUp424Oj/CATHY.jpg?width=650)
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
9 years ago
StarTV05 Oct
Samia awahimiza wananchi kuendeleza amani
Mgombea mwenza wa kiti cha Urais wa Chama cha mapinduzi CCM Samia Suluhu amewaomba wananchii kote nchini kuhakikisha wanatoa taarifa katika vyombo vya usalama pindi wanapoona wageni wasiokuwa na taarifa zao katika kuelekea katika uchaguzi mkuu.
Samia ameyasema hayo alipokuwa akimaliza ziara yake ya kuomba kura pamoja na kunadi ilani ya uchaguzi ya chama hicho katika mkoa wa simiyu katika wilaya ya Maswa.
Katika kiwanja cha nguzo nane wilaya ya maswa baadhi ya wananchii wanakusanyika kwa...
9 years ago
StarTV05 Jan
Waziri Mkuu awahimiza Watanzania kuweka akiba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa mkoa wa Ruvuma kuacha matumizi mabaya hya Fedha badala yake wawe na tabia ya kuweka akiba ya fedha zao benki.
Waziri Mkuu Majaliwa wakati akizindua Benki ya Posta Mkoani Ruvuma amesema endapo mtu hataweka akiba atashindwa kufanya Mambo ya Maendeleo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa .Kasimu Majaliwa amesema kuweka Fedha Benki kuna kusaidia kuepukana na wezi, pia kunapunguza...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ILj1qpGlBhI/default.jpg)