Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STAA WASTARA APINGA MASTAA KUAGWA LEADERS

ANA hoja? Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amepinga kitendo cha mastaa wa Bongo kuagwa Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar wanapokutwa na umauti. Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma. Akizungumza na gazeti namba moja la habari za mastaa na kijamii Bongo, Ijumaa Wikienda juzikati, Wastara alieleza kwa huzuni kubwa kuwa hafurahii eneo la Leaders kutumika kuagia kwa sababu ni eneo hilohilo ambalo hutumiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MIILI YA RECHO NA MWANAE YAWASILI LEADERS KUAGWA

Miili ya Rachel Haule 'Recho' na mwanaye ikishushwa kwenye gari maalum baada ya kuwasili Viwanja vya Leaders ikitokea nyumbani Palestina, Dar tayari kwa kuagwa. Wasanii wakiongoza…

 

11 years ago

Tanzania Daima

George Tyson kuagwa Leaders Club leo

MWILI wa aliyekuwa muasisi wa filamu za kibongo nchini, George Otieno ‘George Tyson’, unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3 asubuhi...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AWAHIMIZA MASTAA KUZAA

Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma. Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amewahimiza mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana na tabia ya kutoa mimba hovyo.Akipiga stori na gazeti hili, Wastara alisema kutokana na maisha kuwa mafupi na kubadilika kila kukicha anawasihi mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana tabia ya kutoa mimba hovyo. “Nawasihi mastaa kuachana na tabia ya kutoa mimba kwani hawajui Mungu...

 

11 years ago

GPL

GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KISUMU NCHINI KENYA

Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya Juni 7 mwaka…

 

11 years ago

CloudsFM

GEOGRE TYSON KUAGWA LEADERS JUMATANO,KUZIKWA KISUMU,KENYA JUNI 7

Mwili wa aliyekuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu, George Otieno Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro ambapo mwili wake utaagwa siku ya Jumatano katika viwanja vya Leaders, Kinondoni na kusafirishwa kwenda Kisumu, Kenya na kuzikwa Juni 7.Tyson alifariki dunia Ijumaa usiku akiwa njiani kukumbizwa Hospitali ya Mkoa ya Rufaa Mkoa wa Morogoro kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea maeneo ya Gairo, Morogoro.Katika ajali hiyo, mbali na marehemu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Alichokisema Wastara Kuhusu Mastaa Kutoa Mimba

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amewahimiza mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana na tabia ya kutoa mimba hovyo.

Wastara alisema kutokana na maisha kuwa mafupi na kubadilika kila kukicha anawasihi mastaa wa kike kuzaa mapema na kuachana tabia ya kutoa mimba hovyo.

“Nawasihi mastaa kuachana na tabia ya kutoa mimba kwani hawajui Mungu amewaandikia watoto wangapi katika maisha yao, pia waache tabia ya kutoa mimba kwani baadaye wakati wakiwa tayari kuzaa watashindwa kuwapata na kujikuta...

 

10 years ago

GPL

WASTARA ALIA MASTAA KUSUSIA KISOMO CHA SAJUKI

Diva wa filamu Bongo, Wastara Juma. DIVA wa filamu Bongo, Wastara Juma amelia na mastaa wenzake wa filamu kususia kisomo cha marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’. Msanii huyo mwishoni mwa wiki iliyopita aliandaa kisomo cha kumuenzi marehemu Sajuki ambapo dua ilianzia kwenye makaburi ya Kisutu alipozikwa na kumalizika nyumbani kwake maeneo ya Tabata Barakuda jijini Dar.… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara Azungumzia Mastaa Kususia Kisomo Cha Sajuki

Mwigizaji wa filamu Bongo, Wastara Juma amelizungumzia swala la mastaa wengi wa filamu kuto udhuria kisomo cha marehemu mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’.

Mwishoni mwa wiki iliyopita Wastara aliandaa kisomo cha kumuenzi marehemu Sajuki ambapo dua ilianzia kwenye makaburi ya Kisutu alipozikwa na kumalizika nyumbani kwake maeneo ya Tabata Barakuda jijini Dar. Tukio ambalo lilihudhuriwa na mastaa wachache kutoka kwenye tasnia ya filamu ambapo yeye Wastara hadi sasa yupo na hata marehemu mmewe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani