GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KISUMU NCHINI KENYA
![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya Juni 7 mwaka…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM02 Jun
GEOGRE TYSON KUAGWA LEADERS JUMATANO,KUZIKWA KISUMU,KENYA JUNI 7
Mwili wa aliyekuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu, George Otieno Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro ambapo mwili wake utaagwa siku ya Jumatano katika viwanja vya Leaders, Kinondoni na kusafirishwa kwenda Kisumu, Kenya na kuzikwa Juni 7.Tyson alifariki dunia Ijumaa usiku akiwa njiani kukumbizwa Hospitali ya Mkoa ya Rufaa Mkoa wa Morogoro kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea maeneo ya Gairo, Morogoro.
Katika ajali hiyo, mbali na marehemu...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
George Tyson kuagwa Leaders Club leo
MWILI wa aliyekuwa muasisi wa filamu za kibongo nchini, George Otieno ‘George Tyson’, unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3 asubuhi...
11 years ago
CloudsFM04 Jun
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9YggPED4*T7sOxD5Wed1pM-BQJ32-ys2wZvc4Ftv-Aghra1smsd5oIlvNruQQAln*GAkQ24OnXSKLTSPIiGOcpFk/11KUAGWATYSON12.jpg)
MWILI WA GEORGE OTIENO 'TYSON' WAANZA KUAGWA LEADERS CLUB
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Xzc2mQcbf_Y/U5w95m7KGAI/AAAAAAAFqoE/wPK9ECZxNgI/s72-c/IMG-20140614-WA0022.jpg)
GEORGE TYSON AZIKWA LEO KIJIJINI KWAO SIAYA,NCHINI KENYA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-Xzc2mQcbf_Y/U5w95m7KGAI/AAAAAAAFqoE/wPK9ECZxNgI/s1600/IMG-20140614-WA0022.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Lo42rRZVvtQ/U5wvbsrfn2I/AAAAAAAFqlM/8m29519HPiA/s1600/IMG-20140614-WA0006.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-DovBeXK0mek/U5wvbMOwEOI/AAAAAAAFqlQ/uPAEcEikqJ8/s1600/IMG-20140614-WA0007.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1cpIJxJsV3vBVgPykbs88ydrJp6m-*yVC-G2kROs-DU*ubQX3BwVPoP7IUdA7xexhO9p2-CJ*udgJ1ZIsyFYY5x8/tyson.jpg)
11 years ago
GPLMAREHEMU TYSON ALIVYOAGWA LEADERS CLUB
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro.
Taarifa hizi ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu yake zinasema kuwa, mauti haya yamemfika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka walipokuwa wameenda kwa ajili ya kipindi cha The mboni show ambacho yeye alikuwa ndiye muongozaji mkuu.
Wasanii na mastaa mbalimbali nchini wameoneshwa masikitiko yako juu ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRl-5xYCSCPw2qJONrWCYJyDKtXZ4cqpH*JoqtK4ib3TReLqfRlYRjqNfZ8FnMN0K-XtF1DWPVkt9bdCt75Gjobt/1.jpg?width=650)
PICHA YA KWANZA: MAZISHI YA TYSON NCHINI KENYA LEO