Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAREHEMU TYSON ALIVYOAGWA LEADERS CLUB

Gari lililobeba mwili wa marehemu George Tyson likiingia ndani ya Viwanja vya Leaders Club tayari kwa shughuli nzima ya kuuaga mwili wa marehemu Tyson. Ndugu wa marehemu Tyson wakiongoza waombolezaji pamoja na watu waliobeba jeneza kwenda katika sehemu maalum iliyoandaliwa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

George Tyson kuagwa Leaders Club leo

MWILI wa aliyekuwa muasisi wa filamu za kibongo nchini, George Otieno ‘George Tyson’, unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3 asubuhi...

 

11 years ago

GPL

GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KISUMU NCHINI KENYA

Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya Juni 7 mwaka…

 

11 years ago

GPL

MWILI WA GEORGE OTIENO 'TYSON' WAANZA KUAGWA LEADERS CLUB

Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa. Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa mbele ya baadhi ya waombolezaji.…

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI YA MWISHO YA MUIGIZAJI WA FILAMU,MAREHEMU ADAM KUAMBIANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB HIVI SASA

 Shughuli ya kuaga mwili wa aliekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini,Marehemu Adam Kuambiana inaendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.Marehemu kuambiana anatarajiwa kuzikwa leo hii kwenye Makaburi ya Kinondoni hapa hapa jijini Dar.




BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

klabu za michezo za maveterani zarehemu marehemu leo (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam

  Sheikh Hilal Shaweji akitoa neno kwa wadau wa michezo katika ibada ya kuwakumbuka wasanii na wanamichezo mbalimbali waliotangulia mbele ya haki, ibada hiyo imefanyika katika viwanja vya Leaders Club kinondoni jijini Dar leo.Padre John Solomon akitoa neno kwa wadau na wanamichezo katika ibada ya kuwakumbuka waliotangulia mbele ya haki  iliyofanyika leo katika viwanja vya leaders Club jijini Dar es Salaam.Balozi Mstaafu  Sisco Mtilo Akiwakaribisha wadau katika ibada ya kuwaombea...

 

10 years ago

Michuzi

klabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam

Umoja wa klabu za michezo za maveterani Dar es salaam,  chini ya uratibu wa klabu za Singasinga na Tazara,  unatangaza rasmi kwamba  shughuli ya kurehemu wanachama wenzetu ambao wametangulia mbele ya haki itafanyika JUMATATU 12/1/2015, ikiwa pia ni  sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Mapinduzi.
Ratiba itaanza  Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika  kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...

 

11 years ago

Michuzi

MAREHEMU GEORGE TYSON AAGWA LEO JIJINI DAR


Sehemu ya Wacheza Filamu nchini waliokuwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu George Otieno Okomu (George Tyson) wakijipanga tayari kwa akili ya kuongoza shughuli ya Kuga mwili iliyofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.Mwili huo umesafirishwa kupelekwa nchini Kenya ambako ni nyumbani kwao na Marehemu kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Jumamosi ijayo baada ya kukamiliza kwa mipango yote.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Saddick...

 

11 years ago

GPL

PICHA ZA KWANZA ZA MAJERUHI KATIKA AJALI YA MAREHEMU TYSON

Mmoja wa majeruhi katika ajali, Gladis Chiduo 'Mc Ze Pompapomba'akiwa chini ya uangalizi wa nesi katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro akipatiwa matibabu. Gladis Chiduo 'Mc Ze Pompapomba' akiwa amepumzika baada ya kupatiwa matibabu. (…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani