Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA YA KWANZA: MAZISHI YA TYSON NCHINI KENYA LEO

Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ ukizikwa leo kijijini kwao Kisumu Kenya. Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya umezikwa siku ya leo kijijini kwao Kisumu nchini Kenya. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

11 years ago

Michuzi

GEORGE TYSON AZIKWA LEO KIJIJINI KWAO SIAYA,NCHINI KENYA.

 Hapa ndipo mwili wa Marehemu George Tyson ulipozikwa mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.George Tyson ambaye alikuwa ni mmoja wa Waongozaji filamu mahiri hapa nchini Tanzania,alifarika kwa ajali ya gari wakati akitokea mkoani Dodoma kikazi akirejea jijini Dar.Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi.Amin. Misa ya mwisho ya kumuombea marehemu George Tyson nyumbani kwao mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya. Ndugu na jamaa mbalimbali wakitoa...

 

11 years ago

GPL

PICHA ZA KWANZA ZA MAJERUHI KATIKA AJALI YA MAREHEMU TYSON

Mmoja wa majeruhi katika ajali, Gladis Chiduo 'Mc Ze Pompapomba'akiwa chini ya uangalizi wa nesi katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro akipatiwa matibabu. Gladis Chiduo 'Mc Ze Pompapomba' akiwa amepumzika baada ya kupatiwa matibabu. (…

 

11 years ago

GPL

GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KISUMU NCHINI KENYA

Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya Juni 7 mwaka…

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA,NCHINI KENYA

Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli yupo nchini Kenya akiiwakilisha Tanzania kwenye mazishi ya mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga aitwaye Fidel Odinga aliefariki mwishoni mwa wiki iliyopita,yanayofanyika huko Bondo, Kisumu, Kenya. Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mfiwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga wakiongozana kuelekea sehemu maalum ya kuaga mwili wa Marehemu Fidel Odinga kabwa ya kuzikwa kwake.Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe...

 

10 years ago

GPL

DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA, NCHINI KENYA

Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mfiwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga wakiongozana kuelekea sehemu maalum ya kuaga mwili wa Marehemu Fidel Odinga kabwa ya kuzikwa kwake.…

 

11 years ago

Bongo Movies

MSIBA: Johari afiwa na baba yake. Tazama picha za mazishi yalivyokuwa leo.

R.IP baba yetu kipenzi CLEMENT KIENZE CHAGULA tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi .daima tutakukumbuka milele pumzika kwa amani. Amini.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: AY atunukiwa tuzo ya heshima nchini Kenya

CX4j_3nUQAACQir

Mchango wa AY kwenye muziki wa Afrika Mashariki ni mkubwa ndio maana Kenya imeamua kumtunza tuzo ya heshima.

CX4j_3nUQAACQir
AY akiwa na Fundi Frank baada ya kupewa tuzo ya heshima

Kipindi cha Mseto cha Citizen TV/Radio Citizen kimempa rapper huyo tuzo ya Lifetime Achievement Award kwenye show ya ya Chomoka Night East Africa iliyofanyika Lodwar, Turkana County.

CX4j9x_UQAI2rEM
Mtangazaji wa kipindi cha Mseto, Willy M Tuva akimkabidhi AY tuzo hiyo mbele ya mashabiki

CX4j-2PUwAEL9-H

Big Dreams,Good Music & Expensive Taste #Lodwar #Turkana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani