Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN-ICTR yamaliza kazi nchini

Arusha. Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) imefunga shughuli zake nchini huku ikiiachia kazi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (MICT) cha upatikanaji, ukamataji na usikilizwaji wa kesi ya watuhumiwa tisa wa mauaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UN-ICTR Yamaliza Kazi yake Arusha, mpiganaji Danford Mpumilwa ashukuru kuhitimisha ngwe yake salama na kwa ufanisi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughullikia Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) hivi majuzi imefanya sherehe za kumaliza kazi zake baada ya miaka 21 toka ilipoanzishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Sherehe hizo zilikuwa ni pamoja na mkutano mkubwa uliowaleta watu mashuhuri kutoka pande zote duniani na viongozi wa UN kutoka New York, na uzinduzi wa Bustani ya Amani -Peace Park - mjini Arusha.Mahakama hiyo iliwakamata na kuwahukumu watu wazito wa Rwanda 83 wakiwemo Mawaziri...

 

9 years ago

Habarileo

UN –ICTR yashitakiwa Mahakama ya Kazi

WALIOKUWA wafanyakazi wa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN –ICTR) ambayo imemaliza kazi zake hapa wameishtaki Mahakama hiyo kwenye Mahakama ya Kazi wakidai kutolipwa stahiki zao.

 

10 years ago

Michuzi

UN-ICTR Yatoa Msaada wa Vifaa vya kazi kwa Mahakama Kuu ya Tanzania

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yenye makao yake makuu mjini Arusha imekabidhi msaada wa vifaa vya ki-eletronic vinavyosaidia kuongeza ufanisi wa kazi za kimakahakama kwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tazania Mhe. Othman Mohamed Chande katika sherehe fupi iliyofanyika mahakamani hapo Arusha. Vifaa hivyo ni pamoja na mashine 19 ziitwazo Dictaphone Machines na mashine nyingine 19 ziitwazo Transcribers. Viffaa hivyo vilikabidhiwa na Kaimu Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Raia 11 walioshtakiwa ICTR walowea nchini

Mkuu wa Kitengo cha Utawala cha ICTR, Sarah Kilemi RAIA 11 waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) ya mjini Arusha, wamelowea na kuendelea kuishi nchini, kwa kile kinachoelezwa kuwa ni hofu ya kushindwa kurudi kwao, kwa sababu za kiusalama.

 

10 years ago

Michuzi

MCC, Makampuni 10 ya Kimarekani yamaliza ziara ya kuangalia fursa za biashara na uwekezaji nchini Tanzania

Makamu wa Rais wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) Kamran Khan ( wa pili kulia)  akifafanua jambo wakati wa mkutano kati ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda (katikati) na wawakilishi wa makampuni 10 ya Kimarekani, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Bw. Khan aliongoza ziara ya wawakilishi hao wa makampuni ya kimarekani, Wizara ya Biashara ya Marekani na MCC ili kuangalia fursa za uwekezaji katika sekta ya nishati nchini...

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Maiuaji ya Kimbari nchini Rwanda (UN-ICTR) Yaadhimisha Miaka 20

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya nchini Rwanda mwaka 1994 juzi iliadhimisha miaka 20 tokea ianzishwe. Maadhimisho hayo yalihusisha maonyesho ya kazi zake pamoja na mikutano. Siku ya mwisho Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal alikuwa mgeni wa heshima. Mhakama hiyo inamaliza kazi zake mwakani. Chini hapo ni baadhi ya picha za shughuli hiyo.  Mpiganaji Danford Mpumilwa, ambaye ni Afisa Habari wa Mahakama hiyo akisoma hotuba ya Wafanyakazi wa...

 

10 years ago

GPL

UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)

Kamati ya Usalama na Maadili tayari imemaliza kikao chake. Kamati Kuu itaanza kikao chake saa 10 jioni

 

10 years ago

Bongo Movies

KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker

Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya  Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.

Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.

Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...

 

5 years ago

Bongo5

Rais Magufuli aamuru madaktari 258 walioomba kufanya kazi nchini Kenya waajiriwe nchini mara 1

Mnamo tarehe 18 Machi 2017 Ujumbe wa Serikali ya Kenya ukiongozwa na Waziri wa Afya Dkt. Cleopa Mailu uliwasili nchini ambapo ulikutana na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dhumuni la mkutano huo ulikua kuomba kuajiri, kwa Mkataba, Madaktari wa Tanzania mia tano (500), ili kupunguza uhaba wa Madaktari nchini Kenya.

Mheshimiwa Rais JPM, alikubali ombi hilo.

Mnamo tarehe 18 Machi, 2017, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani