Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia 11 walioshtakiwa ICTR walowea nchini

Mkuu wa Kitengo cha Utawala cha ICTR, Sarah Kilemi RAIA 11 waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) ya mjini Arusha, wamelowea na kuendelea kuishi nchini, kwa kile kinachoelezwa kuwa ni hofu ya kushindwa kurudi kwao, kwa sababu za kiusalama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanyarwanda walioshtakiwa ICTR `walowea’ Arusha

BAADHI ya watu ambao walifungwa baada ya kupatikana na hatia ya kushiriki kwenye mauaji ya halaiki ya Rwanda na sasa wamemaliza kifungo chao na wale ambao wameachiwa huru na mahakama ya kimataifa ya ICTR baada ya kubainika hawana makosa, hawataki kurejea kwao Rwanda.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wanaume wanne walioshtakiwa kwa ubakaji na mauaji wanyongwa nchini India

Wanaume wanne raia wa India wameuawa kwa kunyogwa nchini humo baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na mauaji ya kinyama kwenye basi huko Delhi mwaka wa 2012

 

9 years ago

Mwananchi

UN-ICTR yamaliza kazi nchini

Arusha. Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) imefunga shughuli zake nchini huku ikiiachia kazi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (MICT) cha upatikanaji, ukamataji na usikilizwaji wa kesi ya watuhumiwa tisa wa mauaji.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: idara ya uhamiaji yaendelea kucharuka, yamzuia raia wa netherlands kuingia nchini kwa kujihusisha na kusafrisha kimazabe raia wa kigeni

 Bw. Shirwan Naseh, raia wa Netherlands  mwenye asili ya Iraq aliyezuiliwa kuingia nchini na kupigwa pigwa PI na Idara ya Uhamiaji



 

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Maiuaji ya Kimbari nchini Rwanda (UN-ICTR) Yaadhimisha Miaka 20

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya nchini Rwanda mwaka 1994 juzi iliadhimisha miaka 20 tokea ianzishwe. Maadhimisho hayo yalihusisha maonyesho ya kazi zake pamoja na mikutano. Siku ya mwisho Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal alikuwa mgeni wa heshima. Mhakama hiyo inamaliza kazi zake mwakani. Chini hapo ni baadhi ya picha za shughuli hiyo.  Mpiganaji Danford Mpumilwa, ambaye ni Afisa Habari wa Mahakama hiyo akisoma hotuba ya Wafanyakazi wa...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU 08 RAIA WA NCHINI KONGO BAADA YA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI .



JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU 08 WOTE RAIA NA WAKAZI WA SANGE – BUKAVU NCHINI KONGO WAKIONGOZWA NA HESABU LUHIGITA (16) BAADA YA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.  WATUHUMIWA HAO WALIKAMATWA MNAMO TAREHE 12.02.2014 MAJIRA YA SAA 13:00HRS MCHANA HUKO KATIKA KIJIJI CHA IKUMBILO WILAYA YA ILEJE WAKIWA WANASAFIRISHWA KWENYE GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.136 AQC AINA YA FUSO LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA MUSSA DISI (35) NA MATEO KADUMA (30)  WOTE WAKAZI WA ISONGOLE AMBAO PIA...

 

5 years ago

Bongo5

Raia wa kigeni nchini wapewa siku 90

Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imetoa siku 90 kwa wageni kufanya uhakiki wa vibali vya ukazi ili kuimarisha udhibiti wa wageni wanaoishi nchini pamoja na kuzuia mianya ya upotevu wa maduhui ya serikali.

Anna Makakala, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
Akizungumza jijini Dar es Salaam Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala baada ya uzinduzi wa mfumo wa uhakiki kwa kutumia njia ya kielekroniki amesema mfumo huo ni rahisi na unatoa fursa kwa waajiri na wageni wote wenye vibali vya...

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yawaua raia 300 wa Yazidi nchini Iraq

Maafisa nchini Iraq wanasema kuwa wanamgambo wa IS wamewaua mamia ya watu wa yazidi waliokuwa wakiwazuilia eneo lililo kaskazini mwa nchi.

 

10 years ago

Mtanzania

Raia 1800 wa Burundi waomba hifadhi nchini

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIA wa Burundi waliongia nchini na kuomba hifadhi wamefikia 1,852 hadi sasa.

Taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga, ilieleza raia hao waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya Mkoa wa Kigoma.

Alivitaja vijiji hivyo kuwa ni pamoja na Kigaye, Sekeoya na Kakonko. Vingine ni Kosovo, Kagunga na Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha Uhamiaji cha Manyovu kilichopo mkoani humo.

Alisema baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani