Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaume wanne walioshtakiwa kwa ubakaji na mauaji wanyongwa nchini India

Wanaume wanne raia wa India wameuawa kwa kunyogwa nchini humo baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na mauaji ya kinyama kwenye basi huko Delhi mwaka wa 2012

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

India: Wanaume wanne wanyongwa kwa kumbaka mwanamke ndani ya basi

Wanaume hao walishitakiwa kwa kumbaka na kumuua mwanamke katika mji mkuu wa India

 

11 years ago

BBCSwahili

3 wahukumiwa kifo kwa ubakaji India

Wanaume watatu wamehukumiwa kifo Mjini Mumbai, India baada ya kupatikana na hatia katika visa tofauti vya ubakaji

 

11 years ago

BBCSwahili

India:Ghadhabu kwa ubakaji wa wasichana

Watu nchini India wamekerwa na kitendo cha polisi kumbagua babake mmoja wa wasichana waliobakwa na kuuawa kwa sababu ya tabaka lake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wapigwa kalamu kwa ubakaji India

Waziri mkuu wa jimbo kubwa zaidi nchini India la Uttar Pradesh amewafuta kazi polisi wawili kwa kumteka na kumbaka msichana

 

9 years ago

Raia Mwema

Pauline, mwanamama wa Rwanda aliyehukumiwa kwa ubakaji, mauaji

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) imerejea hukumu ya awali na kuamua wa

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Habarileo

Raia 11 walioshtakiwa ICTR walowea nchini

Mkuu wa Kitengo cha Utawala cha ICTR, Sarah Kilemi RAIA 11 waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) ya mjini Arusha, wamelowea na kuendelea kuishi nchini, kwa kile kinachoelezwa kuwa ni hofu ya kushindwa kurudi kwao, kwa sababu za kiusalama.

 

10 years ago

Michuzi

MAJAMBAZI WANNE (4) MBARONI KWA MAUAJI MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limewakamata majambazi wanne (4) waliomuua ASHELI S/O MAGINA mwenye miaka 40, Msukuma, Mfanyabiashara/Mkulima wa Kijiji cha Bubutole kwa kumkata na mapanga kichwani na mikononi na kufariki papo hapo tukio lililotokea tarehe 11/02/2015 majira ya saa 02:00hrs usiku katika Kijiji cha Bubutole Kata ya Farkwa, Tarafa ya...

 

10 years ago

StarTV

Polisi Dodoma yashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya vikongwe.

Na Joyce Mwakalinga,

Dodoma.

 

Watu wanne akiwemo Mweyekiti wa Kijiji cha Ihanda tarafa ya Mlali wilayani Kongwa mkoani Dodoma wanashikiliwa na Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kushiriki katika mauaji ya vikongwe kwa imani za kishirikina.

 

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime, vikongwe watatu waliuawa Machi Mosi mwaka huu kwa madai ya kushiriki kuzuia mvua isinyeshe kijijini hapo kwa njia za kishirikina.

 

Vikongwe hao ni pamoja...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53 nchini India

unnamed

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza walionza kuondoka nchini jana.

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limechangia kiasi cha takribani shilingi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani