Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Maiuaji ya Kimbari nchini Rwanda (UN-ICTR) Yaadhimisha Miaka 20

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya nchini Rwanda mwaka 1994 juzi iliadhimisha miaka 20 tokea ianzishwe. Maadhimisho hayo yalihusisha maonyesho ya kazi zake pamoja na mikutano. Siku ya mwisho Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal alikuwa mgeni wa heshima. Mhakama hiyo inamaliza kazi zake mwakani. Chini hapo ni baadhi ya picha za shughuli hiyo.  Mpiganaji Danford Mpumilwa, ambaye ni Afisa Habari wa Mahakama hiyo akisoma hotuba ya Wafanyakazi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) Yatoa Msaada wa Kompyuta Arusha

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) leo imetoa msaada wa Kompyuta 22, Monitor 154 na Printers 66 kwa mashule, vyuo, vituo vya afya, mashirika yasiyo ya serikali na taasisi zakidini na kijamii pamoja na idara za serikali katika jitihada zake za kusaidia jumuiya ya Kitanzania ambayo imeweza kuilea mahakama hiyo nchini kwa miaka karibu 20 sasa. 
Ofisi ya ya Mkuu wa Mkoa yenyewe iliongezewa gari moja la deraya na ulinzi. Makabidhiano hayo yalifanya mjini Arusha...

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yatoa gari kwa jeshi la magereza arusha

 Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) imetoa msaada wa gari lililoimarishwa kiusalama - amored vehicle - linaloonekana nyuma kwa Idara ya Magereza nchini kwenye sherehe fupi iliyofanyika mjini Arusha. Akikabidhi gari hilo Mkugenzi wa Idara ya Utawala wa ICTR Dr. Saraha Kilemi alisema kuwa msaada huo ni shukrani za mahakama hiyo kwa Idara hiyo kwa ushirikiano iliyoutoa kwa mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka zaidi ya 20 ya kazi za mahakama hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa maadhimisho ya miaka 20 ya mahakama ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda ICTR Jijini Arusha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya  Kimbari ya Rwanda (ICTR), ulioanza leo Novemba 8, 2014 kwenye Ukumbi wa AICC  Jijini Arusha. (Picha na OMR). 3 5 Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia. 6 7 4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akitazama baadhi ya picha za kumbukumbu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama ya mauaji ya kimbari Rwanda yafungwa

Mahakama ya kimataifa iliyoundwa kuchunguza mauaji ya kimbari nchini Rwanda ya mwaka wa 1994 {ICTR} imefunga shughuli zake mjini Arusha Tanzania.

 

11 years ago

BBCSwahili

Miaka 20 ya mauaji ya kimbari Rwanda

Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Rwanda

 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kufanyika Oktoba viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya sherehe za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa pamoja na kutolea ufafanuzi malengo 17 ya maendeleo endelevu (SDGs) yenye lengo la kufuta kabisa umaskini.(Picha zote ne Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).

DSC_0181

Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Hassan Simba Yahya akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MWANDOSYA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Prof. Mark Mwandosya (katikati) akiwa pamoja na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania,Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) na Bw.Bongani Majura,Mrajisi wa ICTR,Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Rwanda,wakiwa wameshika Mwenge wa kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Watutsi,nchini Rwanda yaliyotokea mwaka 1994.Kumbukumbu hii imefanyika kwenye ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es Salaam. Maandamano ya vijana wakiwa na mwenge wa Kwibuka katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mh. Mwandosya aongoza maadhimisho ya 20 ya mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda jijini Dar

 Maandamano yakiwa yameanza kuelekea ukumbi wa Mlimani City

 Mmoja ya Waandamaji wa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Rwanda ikiwa imetimia Miaka 20 akiwa amebeba Mwenge Maalum kwa ajili ya Maadhimisho.

 Maandamano ya Kumbukumbu ya miaka 20 ya Mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994 yakiendelea kuelekea Ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Maadhimisho hayo.

 Baadhi ya Wanafunzi pamoja na watu wengine mbalimbali wakiwa wameshika mabango mbalimbali yanayo elezea siku ya kumbukumbu ya Mauaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani