SHUKURANI ZA MPIGANAJI EMMANUEL KIHAULE KWA MAMA YAKE MLEZI RITA CHE-MPONDA
Na Emmanuel KihauleKuna watu ni malaika waliotumwa na Mungu kuja hapa duniani kusaidia wengine wenye uhitaji.(Ndefu kidogo lakini naamini na wewe utaguswa sana).
Naona watu kadhaa akiwemo rafiki yangu George Kalimah wamenitaka niandike leo hii hii kuhusu namna huyu Mama Rita Che-Mponda (pichani juu na mumewe) alivyogusa maisha yangu anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa leo. Mama huyu ni Mke wa Marehemu Dkt. Aleck Humphrey Che-Mponda aliyekuwa mwalimu wa vyuo vikuu kadhaa hapa nchini na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Apr
Che Mponda afariki dunia
MWASISI wa chama cha siasa, Tanzania People’s Party (TPP), Dk Aleck Che-Mponda (80) amefariki dunia katika hospitali ya Massana iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani ya mifupa.
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Dk. Che-Mponda afariki dunia
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWASISI wa Chama cha Tanzania Peoples (TPP) aliyeandika chapisho la mgogoro wa mpaka wa Tanzania na Malawi, Dk. Aleck Che-Mponda, amefariki dunia.
Mtoto wa marehemu, Chemi Che-Mponda, alisema jana kwamba baba yake alifariki dunia jana katika Hospitali ya Massana iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Enzi za uhai wake, Dk. Che-Mponda alifanya utafiti kuhusu mgogoro wa Malawi na Tanzania kuhusu Ziwa Nyasa mwaka 1971 alipokuwa akisomea shahada ya uzamivu...
10 years ago
Habarileo03 Apr
Che-Mponda kuzikwa Ludewa J4 ijayo
MAZIKO ya mwasisi wa Tanzania People’s Party (TPP), Dk Aleck Che-Mponda (80), aliyefariki dunia Machi 30, mwaka huu katika Hospitali ya Massana jijini Dar es Salaam, yatafanyika Aprili 7, mwaka huu kijijini kwao Manda wilayani Ludewa, Njombe.
11 years ago
CloudsFM29 May
HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFUNGIWA NDANI YA BOKSI KWA MIAKA MINNE NA MAMA YAKE MLEZI ILI ASIMWAMBUKIZE VIRUSI VYA UKIMWI
Mtoto wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi.
Wakizungumza na...
11 years ago
GPL17 Feb
SHILOLE ALIPOMTEMBELEA MAMA YAKE MLEZI IGUNGA, TABORA
10 years ago
Michuzitunamlilia mwanazuoni na mwanasiasa mkongwe Marehemu Dkt Alec Che-Mponda
Mwenyekiti Mtendaji wa Michuzi Media Group anaungana na familia, ndugu, jamaa, jirani na marafiki wa Chemponda katika kuomboleza kifo cha Dkt Alec Che Mponda kilichotokea juzi Machi 30, 2015 katika hospitali ya Massana jijini Dar es salaam kutokana na saratani (cancer) ya mifupa iliyokuwa ikimsumbua kwa muda mrefu. Alikuwa na umri wa miaka 80.
Tunatoa mkono wa pole kwa binti mkubwa wa marehemu na blogger na mwanahabari mwenzetu, Bi Chemi...
11 years ago
Michuzi24 Apr
mpiganaji cecy jeremiah afiwa na mama yake
Ahsante, Katibu Mkuu TASWA 24/04/2014
10 years ago
Michuzi08 Apr
TANZIA: Mpiganaji Masoud Sanani afiwa na mama yake mzazi huko Pemba
Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Masoud Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377. Katibu Mkuu TASWA
9 years ago
Michuzi
UN-ICTR Yamaliza Kazi yake Arusha, mpiganaji Danford Mpumilwa ashukuru kuhitimisha ngwe yake salama na kwa ufanisi