Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani Sengerema wapinga ongezeko la gharama za matibabu ya papo kwa papo

Madiwani  wilayani sengerema mkoani Mwanza wamepinga ongezeko la gharama ya matibabu ya papo kwa papo kutoka shilingi 1,500 hadi shilingi 3,000 kwa zahanati na shilingi 3000 katika kituo cha afya hadi shilingi 5,000 kwa madai kuwa haliendani na huduma inayotolewa.

Kukosekana kwa dawa za msingi, uhaba wa vifaa tiba, upungufu wa wauguzi na uchakavu wa miundo mbinu pia ni sababu ya kupinga ongezeko hilo.

Katika kikao cha kwanza cha madiwani wa halmashauri  ya Wilaya ya Sengerema na Buchosa cha...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MCL, Airtel sasa wazindua taarifa za papo kwa papo

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited,(MCL) inayochapisha magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua huduma mpya ya utoaji wa taarifa za papo kwa papo.

 

11 years ago

Michuzi

MAMIA YA WANANCHI SOMANGA KILWA WAJITOKEZA KUPIMA AFYA BURE,KAYA 70 ZAJIUNGA NA CHF PAPO KWA PAPO WAKIPOKEA MWENGE WA UHURU

Kiongozi wa mwenge kitaifa mwaka 2014,Rachel Kassanda akiwataka wananchi wa kilwa kujiunga na CHF,kwani ndiyo mkombozi wa matibabu sasa kwa kuzingatia maboresho ya huduma za afya yanavyowezekana chini ya sera ya urasimishaji wa majukumu kwa jamii hususani ya uchangiaji baina ya wananchi na serikali,ambapo mfuko wa taifa wa bima ya afya unasimamia mfuko wa afya ya jamii kwa niaba ya serikali ,kulia ni mkuu wa wilaya ya Kilwa mhe.Abdalla Ulega ambaye ndiye mwenyeji wa mapokezi ya mwenge wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA WILAYA YA KINONDONI MKUU WA WILAYA ATANGAZA AJIRA YA PAPO KWA PAPO

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwa ameubeba mwenge wa Uhuru baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto), akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda baada ya kumaliza mbio zake wilayani humo Dar es Salaam leo asubuhi. Mwenge huo ulianza mbio zake Wilaya ya Ilala na kuzindua miradi mbalimbali. Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa mwaka 2015, Juma Khatibu Chum (kulia), akisalimia na Meya...

 

10 years ago

Vijimambo

BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO

Bi harusi mmoja kaskazini mwa nchi ya India alifanya maamuzi ya papo kwa hapo kuolewa na mmoja wa wageni waliofika kushereheka naye katika harusi yake baada ya mumewe kuugua ghafla.Mwanamke huyo ajulikanaye kama Indra anayetokea Rampur jimbo la Uttar Pradesh, inaelezwa kuwa sekunde chache kabla ya ndoa ya wawili hao mume akaanguka kifafa, na hivyo kumlazimu kuondoka harusini na kwenda kumwona daktari.Bi harusi Indra, alishikwa na hasira ya hali ya juu, kwakuwa mume alimficha juu ya hali...

 

10 years ago

Mwananchi

Wachafua mazingira faini papo kwa hapo

>Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto imeagizwa kuanza utekelezaji wa utozaji wa faini ya papo kwa papo ya Sh50,000 kwa watakaobainika kuchafua mazingira kwa makusudi.

 

10 years ago

Vijimambo

JENGA TANZANIA FOUNDATION YAWALETEA KIPIMO CHA MALERIA PAPO KWA HAPO

Mwanadiaspora Mtanzania na Mkurugenzi wa JENGA TANZANIA FOUNDATION Bw. Nasoro Ally akitambulisha rasmi Home Malaria Kit katika mkutano wa  Africa Diaspora Market Place (ADMP III) uliofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani tarehe 10/27/2014.Akizungumza katika mkutano huo, Bw.. Nasoro Ally alieleza  kuwa  bado Malaria ni tishio kubwa la uhai kwa Sub-Sahara Africa na ni chanzo cha vifo vya watoto wadogo hasa chini ya umri wa miaka 5 . 
Kipimo hicho chenye uwezo wa kugundua vijidudu vya...

 

11 years ago

Michuzi

WASHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KWA KANDA YA PWANI WAPATIKANA NA KUKABIDHIWA VITITA VYAO PAPO HAPO

 Majaji wakiwa kazini katika Shindano lililofanyika Kanda ya Ziwa Mkoani Mwanza.Picha na Maktaba. Na Josephat Lukaza - Proin Promotions, Dar Es Salaam Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Kwa KAnda ya Pwani limemalizika leo Mkoani Dar Es Salaam mara baada ya washindi watano watakaoiwakilisha Kanda hii katika Fainali kubwa itakayofanyika Mwishoni mwa Mwezi wa nane kupatikana katika Ukumbi wa Makumbusho na hatimaye washindi hao Kukabidhiwa shilingi laki tano taslimu. Shindano hili...

 

11 years ago

Habarileo

Basi laua watu 12 papo hapo

WATU 12 wamekufa papo hapo na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Korogwe, Tanga kwenda Dar es Salaam kuacha njia na kupinduka. Ajali hiyo ilitokea jana saa 1.30 asubuhi kwenye barabara kuu ya Segera-Chalinze katika kijiji cha Kwalaguru kata ya Kwedizinga wilayani hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani