Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAMANI! NDOA ISISHIKILIWE KAMA GAUNI LA HARUSI

NIAlhamisi tena ambayo huwa nakutana na nyie wasomaji wangu ninaowapenda sana.Leo nataka kuzungumza na wanandoa. Ndiyo maana nimeanza kwa kusema hapo juu kuwa, ndoa isishikiliwe kama gauni la harusi. Katika ndoa kuna raha na karaha au shida. Kumbuka kuwa wewe mwanandoa uliapa utaishi na mwenzako katika maisha yote. Hicho kiapo ulikitoa kanisani au msikitini tena kwa kuulizwa mara tatu. Ndoa ni daraja. Kama zima unatakiwa kulivuka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ISABELA ASAKA GAUNI LA HARUSI

Stori: Gladness Mallya
MMH! Katika hali ya kushangaza na kuonyesha kwamba ana hamu ya ndoa, msanii wa filamu na muziki, Isabela Mpanda hivi karibuni alinaswa akitafuta gauni la harusi wakati hata vikao havijaanza. Msanii wa filamu na muziki, Isabela Mpanda. Kikizungumza chanzo makini kilisema mwanadada huyo alikuwa maeneo ya Makumbusho jijini Dar akipita kwenye maduka mbalimbali akitafuta gauni la harusi wakati hata...

 

10 years ago

Vijimambo

BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO

Bi harusi mmoja kaskazini mwa nchi ya India alifanya maamuzi ya papo kwa hapo kuolewa na mmoja wa wageni waliofika kushereheka naye katika harusi yake baada ya mumewe kuugua ghafla.Mwanamke huyo ajulikanaye kama Indra anayetokea Rampur jimbo la Uttar Pradesh, inaelezwa kuwa sekunde chache kabla ya ndoa ya wawili hao mume akaanguka kifafa, na hivyo kumlazimu kuondoka harusini na kwenda kumwona daktari.Bi harusi Indra, alishikwa na hasira ya hali ya juu, kwakuwa mume alimficha juu ya hali...

 

9 years ago

GPL

JAMANI, KITCHEN PARTY ZISIVUNJE NDOA ZENU

Asaalam Alaikum/Bwana Yesu asifiwe wasomaji wangu. Ni imani yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa.Kwa sasa siasa ndiyo imetawala kwenye vinywa vyetu na kila unakopita ni siasa tu. Sasa basi niwakumbushe wapenzi wasomaji wangu kuwa, siasa msizilete kwenye nyumba zenu, msije kuwanyima wenza wenu unyumba kisa mmetofautiana kiitikadi. Hili naliweka wazi kwa sababu nimeshaanza kuona watu wanagombana na waume zao, wapenzi wao...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa...

 

10 years ago

GPL

JAMANI MASELA KAMA... VIPI TUTALALA UZEENI!!

Oya…Niaje masela wangu? Inakuwa nini wazazi? Kitaa hii haiwi kitu yaani timamu kabisa. Damudamu milele mafansi wangu. Ndo kama hivyo mwenyekiti nimeshatimba kukisanua.Turudi kwenye topiki la tudei arifu. Kuna mwanangu mmoko juzikati alinitoa na listori la mai waifu wake ambaye alitaka kujidedisha mwenyewe aisee bati akaokolewa. Jamaa anafunguka kwamba amekuwa na shori wake kwa miaka kibwena.
Miezi bee iliyokrosi mai waifu...

 

10 years ago

GPL

BI HARUSI AFUNGA NDOA, ATOROKA

SHANI RAMADHANI AIBU ya mwaka! Mwanadada aliyefahamika kwa jina la Tatu Ally  (26), mkazi wa Kongowe, Mbagala, Dar amejikuta akiifedhehesha familia yake kufuatia kutoroka kwa mumewe siku moja tu baada ta kufunga ndoa, Amani lina picha kamili. Mwanadada Tatu Ally anayedaiwa kutoroka baada ya kufunga ndoa. Kwa mujibu wa chanzo, ndoa hiyo ilifungwa Aprili 4, mwaka huu Mbagala jijini Dar kisha bi harusi huyo kwenda kwa mumewe...

 

10 years ago

GPL

BI. HARUSI ATOWEKA SIKU 4 KABLA YA NDOA

Deogratius mongela
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Juma Mwinyivue maarufu kama ‘Tabambwa’ (28) mkazi wa Zogowale, Visiga mkoani Pwani, alijikuta katika wakati mgumu baada ya mwanamke aliyetaraji kumuoa, aliyetajwa kwa jina moja la Manka (20) kumzimia simu na kuingia mitini siku chache kabla ya ndoa yao, tukio lililotokea Mei 23, mwaka huu. Juma Mwinyivue maarufu kama ‘Tabambwa' anayedaiwa kutorokwa na...

 

10 years ago

GPL

WENGI WANAPENDA HARUSI KULIKO NDOA

NI Jumanne nyingine njema na inayompendeza Mwenyezi Mungu katika uumbaji wake. Mimi niko mzima wa afya njema ndiyo maana namwagika tena kwenye safu hii. Mada yetu wiki iliyopita ilisema; Mwanamke wa kumuoa hana sifa ya kuwa mke. Wengi walinipigia simu wakipongeza, wengine wakinikandia kwamba si kweli. Akisha kuwa mpenzi anaweza kuwa mke na akaendelea kuwa mpenzi. Nilichobaini, kama mtu alisoma kwa umakini alinielewa vizuri, lakini...

 

10 years ago

GPL

BWANA HARUSI AINGIA MITINI NDOA YABUMA

Stori:  Mwandishi Wetu
Aiseee! Ndoa ya binti aliyetambulika kwa jina moja la  Husna (16), imebuma baada ya bwanaharusi, Rahim (30), kuingia mitini muda mfupi kabla ndoa kufungwa. Binti anayetambulika kwa jina moja la  Husna (16)(mwenye shela) , aliyetaka kuolewa na bwanaharusi, Rahim (30). Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo ya Kitunda-Kati jijini Dar, wiki iliyopita ambapo chanzo makini kiliwajulisha Oparesheni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani