Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAMANI MASELA KAMA... VIPI TUTALALA UZEENI!!

Oya…Niaje masela wangu? Inakuwa nini wazazi? Kitaa hii haiwi kitu yaani timamu kabisa. Damudamu milele mafansi wangu. Ndo kama hivyo mwenyekiti nimeshatimba kukisanua.Turudi kwenye topiki la tudei arifu. Kuna mwanangu mmoko juzikati alinitoa na listori la mai waifu wake ambaye alitaka kujidedisha mwenyewe aisee bati akaokolewa. Jamaa anafunguka kwamba amekuwa na shori wake kwa miaka kibwena.
Miezi bee iliyokrosi mai waifu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

OYA MASELA, KAMA STAREHE ZINAUA SUMU YA NINI?

Niaje joo…inakuwagaje machalii wa kona mbaya kwa fasi ya kitaa. Kwa pande ya huku ni msupa hatare masela wangu. Hopu mko poa tangu lasti wiki nilipowasanua dheni nikabonyea kwenye mbishe za kusaka doo. Ama nini? Basi barida! Kama vipi welikamu kwa jamvini tuanze kusebenza na mastori moo ya kitaa kama kawa kama dawa.
Bifoo sijazama kwenye kitu na boksi tupige kimya kwa sekunde bee kisha wote tuseme R.I.P kwa mzazi jembe...

 

10 years ago

GPL

KAMA VIPI JISMATIFONISHE!

Ebana pipo mambo shwari? Inakuwa nini hapo kwa kitaa ya kati? Kwa saidi hii ni mpango mzima. Ama nini? Basi barida machalii wangu! Nawakumbusha makachaa kuwa huu ni msimu wa holidei. Wana wananiteli kuwa deizi kama hizi huwa ni simpo sana kung’oa kitu na boksi kozi mashori wengi wanataka matanuzi ya sikukuu. Chezea mazawadi ya holidei wewe? Masti mzazi ujitoe fahamu f’lani hivi ili uwe na komfo la kufanya hivyo....

 

10 years ago

Bongo Movies

Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa...

 

10 years ago

GPL

JAMANI! NDOA ISISHIKILIWE KAMA GAUNI LA HARUSI

NIAlhamisi tena ambayo huwa nakutana na nyie wasomaji wangu ninaowapenda sana.Leo nataka kuzungumza na wanandoa. Ndiyo maana nimeanza kwa kusema hapo juu kuwa, ndoa isishikiliwe kama gauni la harusi. Katika ndoa kuna raha na karaha au shida. Kumbuka kuwa wewe mwanandoa uliapa utaishi na mwenzako katika maisha yote. Hicho kiapo ulikitoa kanisani au msikitini tena kwa kuulizwa mara tatu. Ndoa ni daraja. Kama zima unatakiwa kulivuka...

 

11 years ago

GPL

DIDA, KAMA VIPI AMUA KUWAPOTEZEA!

KHADIJA Shaibu ni msichana anayefanya kazi kama yangu, yaani mwandishi, ingawa yeye yupo redioni. Kwa tulio katika fani kitambo kidogo, inakuwa rahisi zaidi kumfahamu kwa ile a.k.a yake, Dida wa Mchops. Hii ilitokana na ndoa yake ya kwanza. Ni mdada anayeuacha usichana. Kikazi, Dida ni mzuri sana akiwa nyuma ya mic, hasa anapokuwa kwenye kile kipindi chake kilichompatia umaarufu mkubwa, cha Mitikisiko ya Pwani ndani ya Times FM,...

 

10 years ago

GPL

OYA JOMBAA… KAMA VIPI KULA ZA USO!

Inakuwa nini arifu? Ndo hivo mazee tunamingo neksti taimu kama kawiz na mtu fedenge hapa kwa fasi ya jamvni. Kwa saidi hii ni mpango mzima. Usicheze mbali upate mastori moo. Ni matamu sana jamaa yangu. Ebana kitu cha kampeni ili kuwanyaka makachala watakaotuletea maendeleo si ndo kama hivyo zimechungulia kwa kona mbaya? Unaambiwa usijimiksi kozi hii si taimu ya kujitoa fahamu wala kula tu wepesi kwa kitaani.Ni taimu ya kutulia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani