Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMA VIPI JISMATIFONISHE!

Ebana pipo mambo shwari? Inakuwa nini hapo kwa kitaa ya kati? Kwa saidi hii ni mpango mzima. Ama nini? Basi barida machalii wangu! Nawakumbusha makachaa kuwa huu ni msimu wa holidei. Wana wananiteli kuwa deizi kama hizi huwa ni simpo sana kung’oa kitu na boksi kozi mashori wengi wanataka matanuzi ya sikukuu. Chezea mazawadi ya holidei wewe? Masti mzazi ujitoe fahamu f’lani hivi ili uwe na komfo la kufanya hivyo....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DIDA, KAMA VIPI AMUA KUWAPOTEZEA!

KHADIJA Shaibu ni msichana anayefanya kazi kama yangu, yaani mwandishi, ingawa yeye yupo redioni. Kwa tulio katika fani kitambo kidogo, inakuwa rahisi zaidi kumfahamu kwa ile a.k.a yake, Dida wa Mchops. Hii ilitokana na ndoa yake ya kwanza. Ni mdada anayeuacha usichana. Kikazi, Dida ni mzuri sana akiwa nyuma ya mic, hasa anapokuwa kwenye kile kipindi chake kilichompatia umaarufu mkubwa, cha Mitikisiko ya Pwani ndani ya Times FM,...

 

10 years ago

GPL

JAMANI MASELA KAMA... VIPI TUTALALA UZEENI!!

Oya…Niaje masela wangu? Inakuwa nini wazazi? Kitaa hii haiwi kitu yaani timamu kabisa. Damudamu milele mafansi wangu. Ndo kama hivyo mwenyekiti nimeshatimba kukisanua.Turudi kwenye topiki la tudei arifu. Kuna mwanangu mmoko juzikati alinitoa na listori la mai waifu wake ambaye alitaka kujidedisha mwenyewe aisee bati akaokolewa. Jamaa anafunguka kwamba amekuwa na shori wake kwa miaka kibwena.
Miezi bee iliyokrosi mai waifu...

 

10 years ago

GPL

OYA JOMBAA… KAMA VIPI KULA ZA USO!

Inakuwa nini arifu? Ndo hivo mazee tunamingo neksti taimu kama kawiz na mtu fedenge hapa kwa fasi ya jamvni. Kwa saidi hii ni mpango mzima. Usicheze mbali upate mastori moo. Ni matamu sana jamaa yangu. Ebana kitu cha kampeni ili kuwanyaka makachala watakaotuletea maendeleo si ndo kama hivyo zimechungulia kwa kona mbaya? Unaambiwa usijimiksi kozi hii si taimu ya kujitoa fahamu wala kula tu wepesi kwa kitaani.Ni taimu ya kutulia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Unaweza kuelezea vipi uhalifu kama ubaguzi wa rangi?

Mzozo kuhusu matamshi ya rais wa mwisho mzungu wa Afrika Kusini, yatonesha vidonda vya ukoloni

 

10 years ago

Vijimambo

WAMEZE CHUPA SASA KAMA VIPI BASI JITIRIRISHE NA HII


BAADA YA MANENO MENGI ZARI AMUUA KUONYESHA KI TUMBO CHAKE

 

10 years ago

Mwananchi

NATOA HOJA : Kama vipi kocha wa Taifa Stars afanyiwe haya

Naingia ulingoni tena katika kona ya hoja, nikiwa na machache, ninataka kuyasema. Ukweli ni kwamba leo ninataka kumzungumzia kocha wa timu ya taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

ZEE LA NYETI: ...kama vipi bora mkoa, bongo ishaanza kuboa

Ebwana heri ya mwaka mpya, najua utakatiza tu kwa rehema zake Mwenyezi Mungu, inshaallah..

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani