NATOA HOJA : Kama vipi kocha wa Taifa Stars afanyiwe haya
Naingia ulingoni tena katika kona ya hoja, nikiwa na machache, ninataka kuyasema. Ukweli ni kwamba leo ninataka kumzungumzia kocha wa timu ya taifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Jun
NATOA HOJA : Taifa Stars majanga, halafu tumeitia janga
Mwishoni mwa wiki iliyopita, nilisikia habari kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepitisha utaratibu wa klabu za Ligi Kuu kusajili wachezaji saba wa kigeni kwa ajili ya kuchezea klabu hizo.
10 years ago
Mwananchi06 Jul
NATOA HOJA :Kazi ya Mkwasa isiwe kufundisha Stars tu
Ninaamini kila Mtanzania ana matumaini na kocha wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa kuwa anaweza akaivuisha Tanzania kufikia mahali fulani.
10 years ago
Michuzi13 Nov
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s72-c/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS
![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s1600/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Kim anatumia vigezo vipi kuteua nyota Taifa Stars?
TANZANIA imekuwa ikifananishwa na kichwa cha mwendawazimu katika soka kutokana na kufanya vibaya kwa timu zake; iwe katika mashindano ya ngazi ya klabu hadi timu za taifa. Kwa upande wa...
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Mambo yanayohusu deni la Taifa kama hoja katika kampeni
Katika safu hii maalumu kwa uchaguzi, mitazamo mbalimbali ya kiuchumi inatolewa na kuchambuliwa na mwandishi. Lengo ni kutoa maoni, miongozo na chambuzi vitavyowahusu wagombea wa nafasi mbalimbali zikiwamo zile za urais, ubunge na udiwani. Maoni, miongozo na uchambuzi vitawahusu pia wapiga kura.
9 years ago
Mwananchi04 Jan
NATOA HOJA : Wanamichezo tujitathmini, mwaka 2016 umeanza
Kama ilivyo miaka yote, Tanzania imekuwa ikivurunda katika michezo huku vikitolewa visingizio vya kila aina.
10 years ago
Mwananchi23 Mar
NATOA HOJA: Hebu anzeni kuwafuatilia Etoile du Sahel
Wiki iliyopita, Yanga iliwatoa kimasomaso Watanzania kwa kuirarua Platinum ya Zimbabwe mabao 5-1 katika mchezo wa kwanza wa raundi ya kwanza.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
NATOA HOJA: Waliolaumu waende wakaone hali Jangwani
>Nawasabahi wote wanaoendelea kupambana na maisha pamoja na wote wanaojenga taifa hasa baada ya mchakamchaka wa wiki-endi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania