Mambo yanayohusu deni la Taifa kama hoja katika kampeni
Katika safu hii maalumu kwa uchaguzi, mitazamo mbalimbali ya kiuchumi inatolewa na kuchambuliwa na mwandishi. Lengo ni kutoa maoni, miongozo na chambuzi vitavyowahusu wagombea wa nafasi mbalimbali zikiwamo zile za urais, ubunge na udiwani. Maoni, miongozo na uchambuzi vitawahusu pia wapiga kura.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Jun
NATOA HOJA : Kama vipi kocha wa Taifa Stars afanyiwe haya
Naingia ulingoni tena katika kona ya hoja, nikiwa na machache, ninataka kuyasema. Ukweli ni kwamba leo ninataka kumzungumzia kocha wa timu ya taifa.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-T7FyP7gV94w/VS7JnpgbGuI/AAAAAAAHRZE/0bDsgv04wAw/s72-c/images.jpeg)
YAFAHAMU MAMBO MAWILI MUHIMU YA KISHERIA YANAYOHUSU UPANGAJI NA UPANGISHAJI
![](http://1.bp.blogspot.com/-T7FyP7gV94w/VS7JnpgbGuI/AAAAAAAHRZE/0bDsgv04wAw/s1600/images.jpeg)
Upangaji kama upangaji una mambo mengi. Hii ndio sababu sheria imegusa eneo hilo pia. Kila mtu anajua kuwa upangaji si lazima uwe wa nyumba ya kuishi tu bali hata ule wa maeneo ya biashara pia. Ipo misuguano mingi ambayo hutokea katika miamala ya upangaji na upangishaji. Ipo misuguano inayotokana na ukorofi tu lakini ipo misuguano inayotokana na kutojua baadhi ya mambo ya msingi na ya kisheria kuhusu dhana...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ocJIMP04wdA/VlgZn8MroOI/AAAAAAAIIkw/8y85hUx2Tco/s72-c/PIX3a.jpg)
Makumbusho ya Taifa yazindua maonyesho ya picha za matukio yanayohusu Albino nchini
![](http://1.bp.blogspot.com/-ocJIMP04wdA/VlgZn8MroOI/AAAAAAAIIkw/8y85hUx2Tco/s640/PIX3a.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-p6KVkm4AT8I/VlgZnt0UuTI/AAAAAAAIIko/5Vubu7QxsWo/s640/PIX3b.jpg)
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Deni la Taifa sasa ni janga la Taifa
Bunge liliambiwa juzi kwamba Deni la Taifa limeongezeka kwa Sh8.2 trilioni kwa kipindi cha miezi saba tu.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6orj1uudoVA/VMOnw9ArylI/AAAAAAAG_VM/4cxNZahshv4/s72-c/001.POLISI.jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-6orj1uudoVA/VMOnw9ArylI/AAAAAAAG_VM/4cxNZahshv4/s1600/001.POLISI.jpg)
10 years ago
Michuzi10 Dec
FID-Q AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAIFA LETU.
Msanii nguli wa miondoko ya Hip-hop Fareed Kubanda – Fid Q amekutana na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sports Lounge katikakati ya jiji la Dar es Salaam, kujadili maswala ya msingi yenye mustakabali chanya kwa maendelo ya taifa hili. Ameitisha mkutano huu akiwa kama kijana na mwenye nafasi na ushawishi kwa vijana wenzie katika ushiriki wa kuleta mabadiliko chanya na maendeleo ya nchi yetu.
Fid Q amesukumwa kuzungumza na waandishi wa habari baada ya ...
Fid Q amesukumwa kuzungumza na waandishi wa habari baada ya ...
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Za escrow hata kama ni za mtu, deni lingelipwa na Watanzania
Sakata la akaunti ya escrow, ambalo watu wamejichotea fedha kama vile watu wanavyozoa mafuta yaliyomwagika kwenye gari la mafuta lililopata ajali bado lipo midomoni mwa watu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania