Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YAFAHAMU MAMBO MAWILI MUHIMU YA KISHERIA YANAYOHUSU UPANGAJI NA UPANGISHAJI

Na   Bashir  Yakub.
Upangaji  kama  upangaji  una  mambo  mengi.  Hii  ndio  sababu sheria  imegusa  eneo  hilo  pia.  Kila  mtu  anajua  kuwa upangaji  si  lazima  uwe  wa  nyumba  ya  kuishi tu bali  hata  ule  wa  maeneo  ya  biashara  pia.  Ipo  misuguano  mingi  ambayo  hutokea   katika  miamala  ya  upangaji  na upangishaji. Ipo  misuguano  inayotokana  na  ukorofi  tu  lakini  ipo  misuguano  inayotokana  na  kutojua  baadhi  ya  mambo  ya  msingi  na  ya  kisheria  kuhusu  dhana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Yafahamu mambo yasiyotakiwa kufanywa Siku ya Uchaguzi 25 Oktoba 2015 hapa

pic+nec

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC), Kailima Kombwey.

MAELEKEZO YA TUME SIKU YA UCHAGUZI.doc

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo yanayohusu deni la Taifa kama hoja katika kampeni

Katika safu hii maalumu kwa uchaguzi, mitazamo mbalimbali ya kiuchumi inatolewa na kuchambuliwa na mwandishi. Lengo ni kutoa maoni, miongozo na chambuzi vitavyowahusu wagombea wa nafasi mbalimbali zikiwamo zile za urais, ubunge na udiwani. Maoni, miongozo na uchambuzi vitawahusu pia wapiga kura.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya msingi ya kuzingatia katika upangaji bei za bidhaa

Mara nyingi wajasiriamali wamekuwa wakipata changamoto mbalimbali katika upangaji bei za bidhaa zao au huduma wanazozitoa. Matokeo yake wamekuwa wakipanga bei ambazo hazina uhalisia katika dunia yao ya kufanyia biashara.

 

10 years ago

Bongo5

Mambo mawili ambayo Cassper Nyovest na Diamond walifanana siku ya tuzo za Channel O

Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest na Diamond Platnumz ndio walioibuka na ushindi mkubwa kwenye tuzo za Channel O zilizofanyika Jumamosi nchini Afrika Kusini. Wote waliondoka na tuzo tatu. Lakini hilo ni jambo moja tu ambalo wasanii hao walifanana siku hiyo. La pili, wote walitumia tuzo hizo kuwatambulisha wapenzi wao wapya ambao kabla ya hapo […]

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MAMBO YA MSINGI KISHERIA KUHUSU UMILIKI WA ARDHI WA PAMOJA

Na  Bashir  Yakub.
Ardhi  inaweza  kumilikiwa  na  mtu  zaidi  ya  mmoja. Inaweza  kuwa  nyumba  au  kiwanja.  Vyote  hivi  vinaweza  kumilikiwa  na  mtu  zaidi  ya  mmoja. Kumiliki ardhi  kwa  zaidi  ya  mtu  mmoja  sio  lazima  iwe  kwa  wanandoa. Inaweza  kuwa  ndugu ,  marafiki ,  kikundi  cha  watu kama  wafanyabiashara, wana  saccos, kikundi  cha  michezo  na  aina  yoyote  ya  kikundi  cha  kimaendeleo.  Umiliki  wa  ardhi  kwa  pamoja  unatofauti  na  umiliki  binafsi  yaani umiliki...

 

9 years ago

Mwananchi

Fahamu mambo 10 muhimu ya Baraza la Dk Magufuli

Desemba 10 mwaka huu, Rais John Magufuli alitangaza Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano ambalo lina jumla ya mawaziri 34, ingawa bado hajatangaza majina manne. Tunatumia fursa hii kujadili mambo kumi muhimu yanayoambatana na baraza lake pamoja na utaratibu wa utangazaji kwa ujumla.

 

10 years ago

Mwananchi

Timu 14 Ligi Kuu, mambo muhimu 14

Wachezaji wa timu 14 za Ligi Kuu Bara wameanza likizo tangu Jumapili ili kupisha kipindi cha usajili wa dirisha dogo baada ya raundi saba kumalizika huku mambo kadhaa na yenye umuhimu yakijitokeza.

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo muhimu ya uchunguzi afya ya mwanaume

Kupima afya ni muhimu kwa wanaume, hata kama hawana dalili za magonjwa. Madaktari bingwa wa magonjwa ya tiba wanapendekeza wanaume wafanyiwe uchunguzi wa afya kila mwaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani