NATOA HOJA : Wanamichezo tujitathmini, mwaka 2016 umeanza
Kama ilivyo miaka yote, Tanzania imekuwa ikivurunda katika michezo huku vikitolewa visingizio vya kila aina.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Jul
NATOA HOJA :Kazi ya Mkwasa isiwe kufundisha Stars tu
Ninaamini kila Mtanzania ana matumaini na kocha wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa kuwa anaweza akaivuisha Tanzania kufikia mahali fulani.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
NATOA HOJA: Waliolaumu waende wakaone hali Jangwani
>Nawasabahi wote wanaoendelea kupambana na maisha pamoja na wote wanaojenga taifa hasa baada ya mchakamchaka wa wiki-endi.
10 years ago
Mwananchi23 Mar
NATOA HOJA: Hebu anzeni kuwafuatilia Etoile du Sahel
Wiki iliyopita, Yanga iliwatoa kimasomaso Watanzania kwa kuirarua Platinum ya Zimbabwe mabao 5-1 katika mchezo wa kwanza wa raundi ya kwanza.
10 years ago
Mwananchi29 Jun
NATOA HOJA : Taifa Stars majanga, halafu tumeitia janga
Mwishoni mwa wiki iliyopita, nilisikia habari kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepitisha utaratibu wa klabu za Ligi Kuu kusajili wachezaji saba wa kigeni kwa ajili ya kuchezea klabu hizo.
9 years ago
Mwananchi07 Sep
NATOA HOJA :Tunakwenda Brazaville kwa ajili ya kupata posho
Septemba 4 hadi 19 mwaka huu, mataifa ya Afrika, yanakusanyika Congo, Brazaville kwa ajili ya Michezo ya Afrika.
10 years ago
Mwananchi22 Jun
NATOA HOJA : Kama vipi kocha wa Taifa Stars afanyiwe haya
Naingia ulingoni tena katika kona ya hoja, nikiwa na machache, ninataka kuyasema. Ukweli ni kwamba leo ninataka kumzungumzia kocha wa timu ya taifa.
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tujitathmini, mwaka huu umeshamalizika
Kama ilivyo miaka yote, Tanzania imekuwa ikivurunda katika michezo huku vikitolewa visingizio vya kila aina.Mwaka huu wa 2013, kimsingi ndiyo umemalizika na ninaweza kusema hakukuwa na mafanikio katika michezo kwa ujumla wake.
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Wanamichezo wanaoutaka ubunge mwaka huu
Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu wa mwaka huu likiendelea nchini, Tasnia ya michezo nayo imeanza kupata msukumo kwa wanamichezo kujitosa katika kinyang’anyiro hicho kwenye uchaguzi utakaofanyika baadaye mwaka huu.
10 years ago
GPLTUNZO KWA WANAMICHEZO BORA WA MWAKA MICHEZO MBALI MBALI ZATOLEWA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Waziri wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dr. Finella Mukangara (katikati) Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Zanzibar Abdilah Jihadi Hassan (kulia) wakiwa na Mwandishi wa Habari Salim Said Salim na Mama Fatma Karume wakiwa katika Hafla ya utoaji wa tunzo kwa wanamichezo bora kwa mwaka 2013/2014 katika ukumbi wa  Diamond Jubilee...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania